Zitto,serukamba na filikunjombe live Channel 10! Generali on monday is back

Kuna mchangiaji dr anasema hakuna mfumo wa kuwajibishana mfano waziri mkuu hana mamlaka ya kuwawajibisha mawaziri walio chini yake
 
Heri yenu wenye umeme huku Njiro, Arusha kwa akina Ngongo, Ibrah na Tracy wa Njiro ni giza totoro, tunamkumbuka Ngeleja! Msinipige mawe wajameni, Profesa karibu sana.
 
Imejulikana hoja ya uwajibikaji kwa waziri mkuu siyo ya chadema wala zitto ni ya kamati ambayo mwenyekiti wake ni zitto
 
Zitto:
tuwe na mfumo wa mawaziri kuwawajibisha makatibu wakuu wa wizara.
 
kwa maoni ya selukamba ana maana ripoti ya CIG ilipangwa ili kusafisha chama kwa kutoa znazopendelea chama kwa ripoti znazo kuja ee
 
Kuna mchangiaji dr anasema hakuna mfumo wa kuwajibishana mfano waziri mkuu hana mamlaka ya kuwawajibisha mawaziri walio chini yake

Sasa kama hawezi kuwawajibisha wa chini yake kwa nini aitwe waziri mkuu sasa si tumwite waziri asiye na wizara maalum?
 
Zitto:
tuwe na mfumo wa mawaziri kuwawajibisha makatibu wakuu wa wizara.

Amefafanua vizuri sana kwa mfano kuwa, waziri kama ana ona katibu ni kikwazo basi aende kwa Rais na amwambie kuwa either mimi nimpishe katibu wako au katibu wako anipishe!
 
Zitto:
tukimpata waziri mkuu mwenye uthubutu wa kuthibiti utekelezaji, mweye maamuzi tusingekuwa na shida
 
Zitto:
tukimpata waziri mkuu mwenye uthubutu wa kuthibiti utekelezaji, mweye maamuzi tusingekuwa na shida

waziri Mkuu awe nani? kumpata iwe hatua inayofuata...tatizo watu wanazungumzia uwajibikaji bila ya wao kuwa na dhamira ya wazi....wanajulikana kwa matendo yao na tabia zao
 
Alitolea mfano wa Edward Moringe Sokoine, ambaye alikuwa mtu wa kuthubutu.
waziri Mkuu awe nani? kumpata iwe hatua inayofuata...tatizo watu wanazungumzia uwajibikaji bila ya wao kuwa na dhamira ya wazi....wanajulikana kwa matendo yao na tabia zao
 
Zitto anamwaga mipointi ya kufa mtu.....Chadema wapo makini sana......
hapo mkuu hamna uchadema na uccm.we vp mbona unakuwa kma sio great thinker.wanaongelea mambo kwa ujumla
 
Serukamba:
''naamini ndani ya miaka mitatu ripoti ya CAG itakuwa nzuri''. Huyu jamaa wa ajabu kweli kwani ni ripoti ya CAG ni mbaya au matumizi ya baadhi ya idara ndiyo mbaya?

Huyu bwana huwaga simuelewi kabisa
 
Back
Top Bottom