Zitto: Serikali ya Magufuli imekopa zaidi ya tril 3 toka uswisi kufadhiri SGR na Stiglers yenye riba kubwa

No, huyo ajaye abadili tuu vifungu vya katiba na kuondoa kinga ili waliokuwa madarakani na kufanya maamuzi mabovu washtakiwe na kuadhibiwa. Huwezi kuwa mbishi na kuiponza nchi nzima halafu ujiondokee hivihivi
Hiyo ndiyo sababu kuu inayowafanya ccm wanganganie madarakani hata ikibidi kutoa uhai wa mtu
 
Wasiwasi wangu ni kama hiyo hela yote inaenda kwenye hiyo miradi na si kufadhili kampeni za 2020
 
"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
Tanzania tumepata maraisi wawili ndani ya mtu mmoja yaan sasa hivi Tanzania ni kama inatawaliwa na idd Amini na Mbutu ceseko kwa wakati mmoja.
 
Zito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
una tatzo kichwan yaani mkopo wa Zito unaulinganisha na wa serikali kukopa na kufanya deni la taifa lipae! vp deni la Zito limeifkisha wap deni la taifa?ona aibu mda mwingine
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom