Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 31,275
- 31,404
Namna mnavyotetea :'UPUMBAVU'' ..... inashangazaZito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
Namna mnavyotetea :'UPUMBAVU'' ..... inashangazaZito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
Alisema hela zipo tayari mkononi. Huyu mtu huyu!Labda ni kwasababu tutalipa hayo madeni kwa makusanyo ya TRA
Hiyo ndiyo sababu kuu inayowafanya ccm wanganganie madarakani hata ikibidi kutoa uhai wa mtuNo, huyo ajaye abadili tuu vifungu vya katiba na kuondoa kinga ili waliokuwa madarakani na kufanya maamuzi mabovu washtakiwe na kuadhibiwa. Huwezi kuwa mbishi na kuiponza nchi nzima halafu ujiondokee hivihivi
Dhambi ya Zitto ni ipi? Kama kakopa yeye sisi inatuhusu?Ukiwa mpinzani dhambi zako zote hutakasika na kuwa nyeupe kama theluji
unajua maana ya riba kubwaZito naye kapoteza uelekeo.
Ukikopa yes ni fedha zako umetumia na utalipa. Sasa kuna jipya gani hapo?
Sio lazima aongee yeye,ww pia unaweza kuuongelea!Zito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
Tanzania tumepata maraisi wawili ndani ya mtu mmoja yaan sasa hivi Tanzania ni kama inatawaliwa na idd Amini na Mbutu ceseko kwa wakati mmoja."Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
Kwa vyovyote utakuwa unasubiri kuokotwa jalalani kama mzee babaZito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
unajua maana ya riba kubwa
Kama anayopesa, aikopeshe serikali, iachane na mikopo ghali"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
Ni TRA, ila ya Uswis.si alisema ni hela za makusanyo ya TRA?
una tatzo kichwan yaani mkopo wa Zito unaulinganisha na wa serikali kukopa na kufanya deni la taifa lipae! vp deni la Zito limeifkisha wap deni la taifa?ona aibu mda mwingineZito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
Whistle blower au Mkiti wa chama? Vipi sera za ACT ni zipi lakini?"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB