Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,047
- 33,534
Hoja huwa inafananaje!?Ndio maana upinzani umekufa hakuna hoja
Hoja huwa inafananaje!?Ndio maana upinzani umekufa hakuna hoja
Acha kupiga siasa mfu hapa jukwaani, nimekuambia tuna madeni toka enzi za Nyerere na hatujalipa mpaka tumefikia mahali pa kuomba kusamehewa, je pesa zako utaomba usamehewe? Halafu usichanganye advance payment na mkopo. Kama hujui tofauti ya mkopo na advance payment rudi shule ukajifunze. Na sasa hivi elimu ni bure hivyo hakuna kisingizio.
huo mkopo wake binafsi hauna effect yoyote kwa umma kuliko huo mwingine
NSSF haiwezi wala haithubutu kukopesha chama cha kisiasa zaidi ya ccm. Huu ni uongo tena wenye ukurutuZito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
Karudi kwa mabeberu tena?? Maskini hana aibu."Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
Ndege zilinunuliwa cash tukalalamika kwanini tusichukue mkopo, SGR ilivyosemekana inajengwa kwa hela za ndani tukalalamika kwanini miradi mikubwa inatumia hela nyingi tusikope! Sasa imegundulika ni hela za mkopo napo ni tatizo!"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
Bebe namhala, nantombe nokho nashike aha?Ndio maana upinzani umekufa hakuna hoja
Mkopo anaozungumzia Zito una uhusiano na sisi watz moja kwa moja kwani serikali isipolipa itawajibishwa nchi na inaweza kuathiri uchumi wetu.Zito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
Huo mkòpo ni jumuisho katika dèni la taifa?Zito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
kufadhiri = kufadhili"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
Huo mkopo wake binafsi kama una madhara atapata hayo madhara yeye binafsi.Zito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
Labda ni kwasababu tutalipa hayo madeni kwa makusanyo ya TRAsi alisema ni hela za makusanyo ya TRA?
Mkopo wake binafsi ni tofauti na mkopo wa kitaifa.Zito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
Kwani ilitakiwa ikope ngapi ndo isingekuwa ghali?"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
kuna watu kumbe hawataki mambo mabaya yafahamike?Zito mbona hazungumzii ule mkopo wake wa milioni 800 bungen, na NSSF amekopa bilioni 1. 5 kufadhili ACT
Pesa zetu za ndani hizo"Serikali imekubaliana na Benki ya Standard Chartered kupata mkopo wa USD 1.5 Bilioni kwa ajili ya mradi wa Reli (SGR) na Benki ya Credit Suisse USD 500 milioni kwa ajili ya miradi mingine ikiwemo Stiglers Gorge. Mikopo Hii ni ghali sana" - Zitto Kabwe >>> https://bit.ly/2K9xVWB
Bunge hilihili au kuna lingine?Exactly...na hii itatuingiza matatizoni sana...
Ila kwa nini hatumii bunge...hata kama nia yake ni maendeleo?
Kama serikali imekopa kiasi hicho bila approval ya bunge basi lipo tatizo kubwa. Nchi haiwezi kuongozwa kwa utashi wa kisiasa wa mtu mmoja kama vile hakuna sheria!