Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Anaandika Zitto Kabwe
Mtwara unga wa ugali ( sembe) Sasa tshs 2000 - 2200 kwa kilo moja.
Gharama za maisha ya mwananchi zimeongezeka Sana kutokana na uhaba wa chakula maeneo mengi ya nchi yetu.
Serikali isiwe kama mbuni, kuficha kichwa kwenye mchanga akidhani kajificha kumbe kiwiliwili kipo wazi. Juhudi zifanyike kupooza ukali huu wa maisha unaokabili wananchi