Zitto: Serikali isipowataja walioficha mabilioni nje, CHADEMA itawataja hadharani!

Hivi hii sentence inatofauti na alichikisema Nape Juzi? Maana watu walimshupalia kama anajua ataje wanaotuma fedha CDM leo naona Zitto anarudia kile kile.[/SIZE]

Hivi CHADEMA imtaje mara ngapi?, au huelewi maana ya kiongozi wa juu wa serikali?, kama vipi uliza mtoto wa drs la tatu nani ni kiongozi wa juu wa serikali ya Tanzania.
 
Aah! huu mkwara tuu,kama ushahidi wanao na majina wanayo kwanini wasubiri CCM/serikali iwataje?Weka mambo hadharani.Mambo ya kumtishia mtu nyau hapa wakati ushahidi hamna doesnt make sense.
 
James Mbatia anaFloor kwakusema kua majengo yooote makubwa yalioko jijini Dar es salaam hayalipi kodi na anauhakika na kama serikali inataka msaada wakujua ni jengo lipi yuko tayari kuisaidia!
Serikali isiyosimamia kodi ni serikali ya walarushwa ,Mzee Kambarage aliwahi kusema hapo nyuma,banana republic zote huwa kodi kwao ni kama maji na mafuta
 
jeshi la cdm kiboko,juzi zitto alikua babati,leo dodoma,huku slaa mikumi,lisu bungeni,lema germany CCM lazima wapagawe
 
Hivi CHADEMA imtaje mara ngapi?, au huelewi maana ya kiongozi wa juu wa serikali?, kama vipi uliza mtoto wa drs la tatu nani ni kiongozi wa juu wa serikali ya Tanzania.

umesoma ukaelewa au unakurupuka tu kujibu post?
 
Ngoja niende zangu Kifungiro Lushoto nikajipumzikie mzee wa watu maake haya mambo moyo waende tutuu,hawana vijana akina Zito hawana adabu
 
]Akiwakilisha kambi ya upinzani katika bajeti ya wizara ya fedha, Zitto Zuberi Kabwe amesema, katika taarifa za kiuchunguzi zinaonyesha kuna kiongozi wa juu wa serikali iliyopita akishirikiana na baadhi ya watendaji wa serikali walihongwa.[/B]

Inasemekana waliohongwa na baadhi ya makampuni ya uchimbaji wa mafuta na kwenda kuzificha fedha hizo Uswiss.

Hivyo kambi ya upinzani inaitaka serikali iwataje viongozi hao kabla CHADEMA haijawataja hadharani.
safari hii Zitto yupo kichama zaidi kuliko binafsi, juzi tumemsikia akimpinga Nappe na kukitetea chama kwa nguvu zote, leo anasema chadema kitataja badala ya nitataja.... nimeipenda sana hiyo.
 
[/QUOTE]Punguza ushabiki utapata kidogo sehemu ya kufikiria kwenye ubongo wako.
 


[/QUOTE]Hizi shule za Kata taabu kubwa, lakini tutakwenda na nyinyi taratibu ni watanzania wenzetu.

Tofauti ni kwamba, Nape aliposema CCM amawafahamu wafadhiri wa nje wa CDM, akawaambia awataje Nape akashindwa.

Lakini kwa Zitto amesema kwamba serikali kama itashindwa kuwataja, basi yeye atawataja
Ajabu ni kwamba serikali hutaisikia ikimwambia Zitto awataje, na kama haitamwambia basi Zitto mwenyewe atawataja.
Understand dude.
 
Hii imekaa kama escape route ya ile issue ya kamati ya nishati na madini hivi. Ukinitaja na mimi nakutaja! Kwa wale mlioshiriki ngumi za kitoto. Sema suu!
 
Humu kaka they dont believe Zitto can do anything labda angekuwa Slaa. Wako biased kupita maelezo. Sababu zinajulikana lakini bahati nzuri. Tume create kundi bila kujua.


Mliopo ubalozi wa India mtujuze vigogo wangapi wamekuja kuombewa VISA za kwenda Apollo jion au usiku wa leo kucheck afya baada ya Maneno haya ya Zitto, naamini wapo ambao pressure imepanda na huwa hawana imani na tiba ya humu ndani na historia inaonyesha Zito hanaga ahadi feki.
 
Hizi shule za Kata taabu kubwa, lakini tutakwenda na nyinyi taratibu ni watanzania wenzetu.

TOFAUTI ni ni kwamba, Nape aliposema CDM amawafahamu wafadhirti wa nje wa CDM, akawaambia awataje Nape akashindwa.

Lakini kwa Zitto amesema kwamba serikali kama itashindwa kuwataja, basi yeye atawataja
Ajabu ni kwamba SERIKALI hutaisikia ikimwambia Zitto awataje, na kama haitamwambia basi Zitto mwenyewe atawataja.
Understand dude.
Msome Nape hapa chini
Pamoja na kuwataka kuweka wazi mashariti yanayoambatana na mabilioni hayo Nape aliwataka Chadema waseme hadharani wenyewe kwamba wamepewa mabilioni hayo, na kuwataka waache mara moja kuwahadaa Watanzania na kujaribu kujipachika kuwa ni Chama cha wanyonge kinachotegemea kujiendesha kwa michango ya watanzania huku wakiendelea kuchukua mabilioni kwa siri kutoka nje.

“ Wasipowaeleza watanzania ukweli , tutawasidia kuwaeleza watanzania ukweli wa kiasi halisi cha mabilioni haya, walikozitoa na mikataba waliyoingia. Lengo la hili ni kuhakikisha kuwa nchi yetu haiwekwi rehani kwa uroho wa madaraka wa baadhi ya wana siasa.” Nape alisema
Sasa Subiri uone kama Zitto nae atataja, itaishiaa hiv hivi kama kwa Nape
 
Back
Top Bottom