Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Kamati yetu ya Bunge inaendelea na vikao Dodoma. Wiki hii tunapokea na kujadili Taarifa za Wizara ya Afya. Bado nchi Ina changamoto sana. Bajeti ya dawa Mwaka 2017/18 ilikuwa TZS 257 bilioni Lakini Serikali ilitoa TZS 80 bilioni tu Sawa na 31% ya Bajet
Kila siku viongozi wa Serikali wanatuambia kuwa Bajeti ya Afya imepanda sana ili kununua madawa na vifaa tiba. Kumbe si kweli. Msemaji Mkuu wa Tanzania umekuwa ukitueleza haya kwenye taarifa zako, hamwoni aibu kuwa awamu iliyopita ilikuwa inatoa 83% ya Bajeti ya Dawa, awamu hii mnatoa 31%!