Zitto, raia wa Tanzania wanaohusika, CSOS na wafadhili wao hawajajibiwa ipasavyo

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
244
312
ZITTO NA CONCERNED CITIZENS OF TANZANIA CSOs NA WAFADHILI WAO HAWAJAJIBIWA IPASAVYO

Nimekuwa nawasikia viongozi wa serikali na hata bungeni wakitoa majibu ya tuhumu za kina Zitto.

Majibu yanajikita kwenye ukweli mmoja tu kuwa wasichana wapatao mimba wana utaratibu wao maalum wa kuendelea na masomo. Japo jibu hili lina ukweli lakini sio kamilifu na limeacha majibu mengine muhimu. Nitaanza na mapungufu ya hili jibu na nitaeleza majibu yaliyoachwa.
Mapungufu ya jibu

Mbali na serikali kuwawekea utaratibu wao maalumu kina Zitto wanadai waachwe waendelee na wasio na mimba. Walipaswa kufafanuliwa hivi: kuna tofauti kubwa kati ya kwenda shule au kuwepo darasani (being in school or classroom) na kuelewa (learning). Kwa waliosomea fani hii wanaelewa kuwa unaweza kuwa darasani au shuleni lakini usielewe. Ili mwanafunzi a "learn" kuna virutubishi vyake.

Na kuna vihatarishi vyake. Pregnancy ni moja ya vihatarishi vya learning. Na kinamuathiri mwenye mimba na asiye na mimba ikiwa mwenye mimba atakaa sehemu moja na wasio na mimba. Ndio maana hata majumbani akitokea binti akaajaa wazazi watawaonya wenzake wasimuige!

Na watajitahidi asilale chumba kimoja na wenzake maana "learning" ya jinsi ya kupata mimba inaweza kuchukua mkondo wake. Ukashangaa binti zako woote ni vitumboz!

Nilitegemea kwa kuwa kila mmoja wetu ni mzazi au mzaliwa hili lingeelezwa! Ndio haswa msingi wa kuwatengenezea utaratibu wao.

Sidhani kuna mzazi mwenye binti (ukiacha kina Zitto) ambaye akisikia kuna shule wanafunzi wanapata mimba darasa zima kila mwaka atampeleka bintiye! Utakuwa mzazi wa kiwango cha concerned tanzanians of CSOs!

Pungufu jingine kwenye hili jibu ni hili: hivi ikiwa aliyempa uja uzito ni mwanafunzi mwenzie au mwalimu wake itafaa kuruhusu aliyejaa mimba akiwa shule aendelee halafu mwanafunzi au mwalimu aliyemjaza afukuzwe?

Kama ni huruma au haki za binadamu kwa nini zibague wakati wote wamefanya kosa? Kwani kila mwanafunzi anayejaa kabakwa? Si utashi wake kujazwa?

Pungufu lingine ni hili: hakuna asiyejua kuna miezi ikitimia mwenye mimba anakuwa hoi! Hivi mwenye mimba ya miezi 7,8, 9 binti atembee kilomita 2 na akae kwenye madawati ya mbao masaa 8? Halafu arudi tena nyumbani? Inawezekana? Au anaadhibiwa?

Hivi kumruhusu akatishe na akishazaa na kumhudumia kichanga ndio akasome na wabeba mimba wenzake ndio ubaya? Haya tuseme kapata mimba karibia kufanya mtihani wa la 7, Form 4 au 6 halafu afaulu. Shule zifunguliwe bado mjamzito ataendaje?

Tuseme yuko Rombo na kapangiwa shule Kigoma atasafirije? Akijifungilia Kigoma atatunzwa na Zitto, Seif, Ado au Juma Duni? Kwa nini Serikali na Bunge haiwapi haya majibu ili ujinga uwe wazi? Huenda hao nje hawajui kwa kina mazingira yetu yanayomkabili mwanafunzi? Wengi wanadhani maisha ya mwanafunzi Tanzania sawa na ya kwao kwa kuwa wanapata taarifa za wajinga!

Sasa majibu ambayo yamesahaulika:
Serikali ingepaswa kuyauliza mataifa yanayotaka wanafunzi wetu wapate mimba wao kwao wanaruhusu?

Baadhi yetu tumesoma, tumesomesha na tumeishi hizi nchi na hatukuona na hatuoni vibinti vya kizungu shuleni na vitumbo ndii! Kwa nini wasichofanya kwao wanataka tufanye? Ili tuvuruge elimu ya watoto wetu waendelee kutumia wajinga sampuli ya Zitto?

Kwa nini Serikali haiwaulizi hawa wanaharakati uchwara ambao wengine hata kuolewa, kuoa au kupata watoto wamegoma wao walipata mimba mashuleni? Nani kwenye familia yao amekosa elimu kutokana na mimba?

Serikali iwaulize hivi wanajua zinaa ni chukizo? Tena wengine wanajinasibu na kanzu, rosari, tasbihi! Hivi kwenye majimbo yao woote wapiga kura wanataka zinaa?

Kila jamii, michezo, fani ina mila, masharti, kanuni na taratibu zake. Ukikataliwa kwa kuwa huendi na mambo haya haimaanishi umebaguliwa. Mfano hivi utawalazimisha Simba (BUNJU ARENA) wasajili mchezaji mwenye kitambi kama cha Mkubwa Kambi kwa kuwa tu ana haki ya kucheza?

Wasipomsajili akashitaki? Hivi ukitaka muuza duka akaja mchaga au binti ana mimba miezi 9 ukamtolea nje unakuwa umevunja haki za wao kuuza duka? Hivi CHADEMA walipoona Zitto haendani na falsafa yao wakamfurusha walimvunjia haki yake ya kuwa kiongozi CHADEMA?

Hakwenda kujiunga na mfumo mwingine kama ambavyo mwanafunzi mzinzi alivyowekewa utaratibu unaoendana na uzinzi wake?

Ukiwa na Daladala akaja dereva mlevi ukamkatalia na kumpa jembe akalime kama anataka unakuwa umemvunjia haki yake ya kuwa dereva?

Hebu wapeni majibu na hoja zitakazofanya watahayari na wadharaulike ndani na nje!
 
Naam! Umesema kilicho kweli.
Tatizo tuna wanaharakati bogus kila upande!
Yani darasa lina watoto 150 halafu mnataka wazaliane humohumo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cha msingi World Bank, US, Sweden na wadau wengine wameelewa somo.
hizi nyingine ni taarabu tu!
 
Kenge wa maziwa

Koroboi kabisa
 
Wanaanzaje kutafuta maneno au kumjibu Zitto wakati serikali yote inatafutana huko maofisini kwao, watu mpaka bukta zinawavuuka kwa kibano mubashara kilichoanza kutolewa dhidi ya watawala.

Serikali imebaniwa hela, mishahara haijaongezwa na wala haitaongezwa.
 
Back
Top Bottom