The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
Akitangaza kujitoa CDM, angalia magazeti ya kufungia vitumbua yatakavyosema: Zitto aipasua CDM; ahama na zaidi ya nusu ya wafuasi wa CDM.
Umarufu kila mtu anao inawezekana akawa marufu kwa washirikina wenzake wala isiwe kwa watu wenye upeo na mtazamo wa mbali shida ya zitto rushwa na unafiki.
Hivi wewe Dada akili yako iko sawa, kipi kilichosimama toka Zitto kapigwa chini? CCM mtaacha upumbavu huo lini maana kuna vitu mnaandika kama mmekatwa vichwa vile?Chadema ndiyo wanaotakiwa kumuomba msamaha zitto kwanza wanajua kuwa bila zitto hakuna chadema kwahiyo lazima wampigie magoti zitto wapende wasipende.
Follower hao ilikuwa kipindi kile bado anaaminka CHADEMA na mimi nikiwemo, sasa imebakia picha tu si lolote si chochote.
Mkuu lakini kumbuka ACT ni sawa kikundi cha wahuni wachache wavuta bangi hivyo kimekufa hata kabla ya wakati wake, Zitto akienda ACT atazidi kujiharibia tu.
Waswahili wanasema mti wenye matunda daima hupigwa mawe na zitto naamini ni mti wenye matunda kwa jinc anavopigwa mawe humu, kubali kataa zitto ni mwanasiasa mahiri na mpambanaji na athari zake zinaonekana wazi lazima tuwe wa kweli, hivi hapo chadema ni mwanasiasa gani unaweza kumlinganisha na zitto kwa kujenga hoja zenye akili na usimamizi wa mambo?watu mnakariri zitto msaliti mkiulizwa usaliti wake ni upi eti alitaka kumpindua mbowe kwenye nafasi yake ya uenyeketi sasa ndo usaliti huo jamani, kwa hyo ukawa wanavopanga mipango ya kuwang'oa ccm ili kuchukua nchi nao tuite ni usaliti?
CDM walikwisha mtaka radhi Zitto kwa kumfukuza. Au unasemaje?Chadema ndiyo wanaotakiwa kumuomba msamaha zitto kwanza wanajua kuwa bila zitto hakuna chadema kwahiyo lazima wampigie magoti zitto wapende wasipende.
Kama kuna mwanasiasa anadhani anaweza kupata mafaniko kupitia siasa za mitandaoni anapoteza mda,ukweli ni kwamba wapiga kura wenye access ya mitandao ni chini ya 10%.wapiga kura halisi wako vijijini.
Chadema ndiyo wanaotakiwa kumuomba msamaha zitto kwanza wanajua kuwa bila zitto hakuna chadema kwahiyo lazima wampigie magoti zitto wapende wasipende.