Zitto: Ninasubiri kwa hamu siku 70 za kampeni, kuna takwimu za uongo tumepewa

RAKI BIG

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
394
456
Aliyekuwa mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe, amesema taarifa ya serikali ndio silaha ya kubomoa hoja zote zenye matege za serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Zitto ambaye ni kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo amesema watawakaanga kwa mafuta yao wenyewe.

“Ninasubiri kwa hamu sana siku 70 za kampeni. Sisi tutaongelea maisha ya watu na wao wataongelea takwimu za kubumba. Wananchi wataamua,” aliandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter.
 
Uongo wa CCM ni rahc kuaminika kuliko ukweli wa UPINZANI... Kwa sababu CCM wamejipanga vzr kwenye propaganda kuliko upande wa pili.

Ni ajabu upinzani hakuna hata media moja inayowapa support
 
Aliyekuwa mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe, amesema taarifa ya serikali ndio silaha ya kubomoa hoja zote zenye matege za serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Zitto ambaye ni kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo amesema watawakaanga kwa mafuta yao wenyewe.

“Ninasubiri kwa hamu sana siku 70 za kampeni. Sisi tutaongelea maisha ya watu na wao wataongelea takwimu za kubumba. Wananchi wataamua,” aliandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter.

Mzee wakubumba takwimu!! Ha ha ha ha, huyo tushamzoea
 
Back
Top Bottom