uuuuuuwi nimekaaa kwenye siti ya mtu!!!joseeeemtanange ndo kwanza uko sekunde ya kwanza!
Huyo ni smart wa kuropoka tu badala afanye kazi za bunge anafanya kazi za serikali,hilo bunge halina tofauti ni bunge la lumumbaEti mwenyewe anadai yuko "smart"
Mtaa wa babako umeusahau?Mtaa Upi?
LumumbaMtaa Upi?