Zitto: Nimeamua kukaa kimya maana naogopa sana sheria mpya ya habarii

Hana jipya kwa sasa akae kimya tu [HASHTAG]#Hatutaki[/HASHTAG] ujinga sisi
 
~~~~>>>>Kwanini sisi tunaochangia maoni hapa sio Wananchi???......

~~~>>>Ajibu hoja za Afande Sele kwanza..... Je alikuwa anafadhiliwa na Jakaya Kikwete?????
 
Pole sana Zitto hiyo ndiyo CCM wanakutumia ukiwafanikisha wanakusindikiza na rungu la kichwa.
 
Unafiki na yeye vinaenda pamoja anaandikia gazeti gani, au ata amekosa vigezo gani. Sababu pekee ya kuigopa sheria kama alizoea kutunga story.
 
Kwisha habari yake,usaliti ni sumu inayoua polepole.Halafu afande sele kanena mazito,vepeeee
Shughulika na lema hivi zitto amekufanya nn ww usaliti waujua mbona mbowe kamleta lowassa mlieumtukana kila uchwao duyuuth waheed
 
Nasis hatumutaji azunguze kwa sasa na hata baadeo coz hana Uchungu na watanzania, wenye uchungu wa kweli na watanzania tunawajua na wengne wapo gerezani.. Na tena ni bora mara bilion azungumze Afande sele kuliko zito
 
Back
Top Bottom