Zitto: Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa simu “tutakushughulia labda usirudi". Nikajisemea lipi jipya watafanya?

"Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa Simu “tutakushughulia labda usirudi”. Nikajisemea lipi jipya watafanya? Azory, Saanane na Kanguye wamewapoteza. Lissu wamemshambulia kwa Risasi ili kumuua. Erick na kina Tito wapo jela. Lipi lipya watafanya? Magufuli SIKUOGOPI aslani." - Zitto Kabwe.

If this administration will deal with these people this way, they will create more people who fight the government and we will all end up in unrest!

Now they need to deal with these people wisely!
 
Tuna imani na Zito, ukatili mwingi umefanyika hapa nchini, na wapinzani ndio wamekuwa wahanga. Tunaomba nchi za nje zichukue hatua stahiki. Zito hakikisha unaweka huu uhuni wote wazi huko nje ili tupate misaada.
Umefanyiwa ukatili upi?
 
"Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa Simu “tutakushughulia labda usirudi”. Nikajisemea lipi jipya watafanya? Azory, Saanane na Kanguye wamewapoteza. Lissu wamemshambulia kwa Risasi ili kumuua. Erick na kina Tito wapo jela. Lipi lipya watafanya? Magufuli SIKUOGOPI aslani." - Zitto Kabwe.
Attention seekers.
 
Zitto asijali freedom is coming tommorow

Sent using Jamii Forums mobile app
 
70 Reactions
Reply
Back
Top Bottom