kubwa_Lao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 934
- 1,185
Mtu smart anayejua nini anafanya na kwa wakati upi!!
Anajua wananchi ndio waliomtuma na si boss aliye ndani ya bunge!!
Anauwezo wa kujenga na kuitetea hoja pengine kuliko wabunge wengi wa upinzani walio bingeni!!
Anaamini ktk siasa za safi wala si maji taka kama walivyo wanasiasa wenzie ambao wengi wao ni wasaka tonge!!!
Inawezekana akawa ndie mbunge wa upinzani wa kwanza kuwasilisha miswada binafsi mingi iliyokua sheria kuliko yoyote yule ktk upinzani!!!
Ni mbunge anaependa kusoma si kama wengine wafanyavyo, na ndio maana anawazid wenzie kwa mbali sana!!
Huyu jamaa ana akili kubwa na wala haamini kuongozwa na akili ndogo!!
Ni smart hasa na miaka hii mitano atasababisha mabadiliko hasa na yataonekana tu!!
Asante Tundu lisu kwa kuona ubora wa Zitto kuliko hao wenye roho za ukabila na ukanda!!