Zitto ni wa kuumunga mkono kwa kila hali na kila namna

Hili la gharama za chaguzi hili.....upande mmoja tunalia njaa kali upande mwingine tunatengeneza namna ya janja ya kisiasa inayokula hela nyingi....lah!!
 
Kuna mtu ni sociopathic and pathological liar! Mtu wa vituko na unafiki uliopitiliza na ni kwa sababu ya ego na misifa ya kishamba tu, anafikiri hatumwoni yeye na madudu yake. Tusimuunge tu mkono Zitto, sote tupaze sauti zetu hata kama ni kutokea nyuma ya keyboards hatuna jinsi! Kuna wanaotutegemea sisi! Hatuna budi kusimama na kusema hata kama risasi na mateso yatatuhusu.
 
Hivi kati ya Mafuli na Zitto nani kachoka? Zitto keshaishiwa hoja sasa hivi kaamua kufanya personal attacks za viwango vya uchoraa! Na bado, utakumbuka sana zilo milioni 10 ulizokuwa unachota NSSF kila mwezi.
 
Zitto usirudi nyuma tutakuunga mkono
Hata Mange ulimwambia hivyo hivyo siku ilipofika ulimuacha peke yake
Huyu Zitto si ulimuita msaliti wewe na thread zako zimo humu au unamzungumzia Zitto aliekua beki tatu wa kmkm?
 
Huyu mtu yuko kututia hasara mradi tu aimarishe chama cha hata kwa mbinu za hovyo na zinazoligharimu Taifa.In short, he doesn't care hivyo ni wajibu wa kila mtu kumkemea kadri awezavyo.

Hana uchungu na nchi hii, ni mnafiki, muongo, mbabaishaji na zaidi ni msanii wa kiwango cha SGR.

Huyu mtu ni wa kumsema kama afanyavyo Zitto na wala si wa kumuonea haya hata kidogo.Wengi wanaangalia nafasi yake na si matendo yake ya hovyo ya kubariki huu uhujumu uchumi kupitia hizi chaguzi zinazotokana na sababu za kipuuzi kabisa huku yeye akiwa kimya na wakati huo huo akijifanya na uchungu na hela zetu.

Zitto usirudi nyuma tutakuunga mkono.
Tuko tayari kushirikiana na yeyote atakayesaidia kung'oa ccm madarakani .
 
Huyu mtu yuko kututia hasara mradi tu aimarishe chama cha hata kwa mbinu za hovyo na zinazoligharimu Taifa.In short, he doesn't care hivyo ni wajibu wa kila mtu kumkemea kadri awezavyo.

Hana uchungu na nchi hii, ni mnafiki, muongo, mbabaishaji na zaidi ni msanii wa kiwango cha SGR.

Huyu mtu ni wa kumsema kama afanyavyo Zitto na wala si wa kumuonea haya hata kidogo.Wengi wanaangalia nafasi yake na si matendo yake ya hovyo ya kubariki huu uhujumu uchumi kupitia hizi chaguzi zinazotokana na sababu za kipuuzi kabisa huku yeye akiwa kimya na wakati huo huo akijifanya na uchungu na hela zetu.

Zitto usirudi nyuma tutakuunga mkono.
IF THERE IS NO ENEMY WITHIN, THE ENEMY OUTSIDE CAN DO YOU NO HARM.

FOR YOUR CASE THERE IS AN ENEMY WITHIN YOU.
 
Back
Top Bottom