Zitto ni wa kuumunga mkono kwa kila hali na kila namna

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Huyu mtu yuko kututia hasara mradi tu aimarishe chama cha hata kwa mbinu za hovyo na zinazoligharimu Taifa.In short, he doesn't care hivyo ni wajibu wa kila mtu kumkemea kadri awezavyo.

Hana uchungu na nchi hii, ni mnafiki, muongo, mbabaishaji na zaidi ni msanii wa kiwango cha SGR.

Huyu mtu ni wa kumsema kama afanyavyo Zitto na wala si wa kumuonea haya hata kidogo.Wengi wanaangalia nafasi yake na si matendo yake ya hovyo ya kubariki huu uhujumu uchumi kupitia hizi chaguzi zinazotokana na sababu za kipuuzi kabisa huku yeye akiwa kimya na wakati huo huo akijifanya na uchungu na hela zetu.

Zitto usirudi nyuma tutakuunga mkono.
 
Aisee!!'
Screenshot_2018-09-25-17-14-52-524_com.twitter.android.jpg
 
Huyu mtu yuko kututia hasara mradi tu aimarishe chama cha hata kwa mbinu za hovyo na zinazoligharimu Taifa.In short, he doesn't care hivyo ni wajibu wa kila mtu kumkemea kadri awezavyo.

Hana uchungu na nchi hii, ni mnafiki, muongo, mbabaishaji na zaidi ni msanii wa kiwango cha SGR.

Huyu mtu ni wa kumsema kama afanyavyo Zitto na wala si wa kumuonea haya hata kidogo.Wengi wanaangalia nafasi yake na si matendo yake ya hovyo ya kubariki huu uhujumu uchumi kupitia hizi chaguzi zinazotokana na sababu za kipuuzi kabisa huku yeye akiwa kimya na wakati huo huo akijifanya na uchungu na hela zetu.

Zitto usirudi nyuma tutakuunga mkono.
Zitto aungwe mkono kwa lipi la maaana.
 
Kweli anatutia hasara sana. Kwanza yeye anaongoza nchi bila busara yoyote , yeye ni mtafuta sifa binafsi hajali kuhusu nchi ndio maana anawaza kujenga kile na hiki , kununua hiki na kile bila kujali utaratibu wowote ilimradi tu asifiwe. Tutaishia kuwa na madeni yasiyovumilika na kwa kuwa miradi yake ni vipaumbele vyake mwenyewe na si taifa havitaleta impact ya maana.
Hivi kuna anayedhan huyu mtu atainua hali ya mtanzania? Thubutu! Kubadili maisha ya raia inahitaji akili na busara nyingi na ushirikiano wa viongoz wengi.
 
Kuna maeneo namkubali zitto,ni whistle blower mzuri kwa uongozi wa Magufuli,kuna ujumbe anaufikisha kwa mamlaka kiaina,anakua kama anananga kumbe anahabarisha mamlaka kinachoendelea nyuma ya pazia,uongozi uumize kichwa kufanyia kazi kauri zake.
Asante mkuu kwa kutambua hili tunajenga nchi moja. Kama kweli unamjali !Mshauri mkuu atoe tamko kusitisha ile biashara haramu inamharibia sana na kutuharibia umoja wa taifa letu.
 
Hamna lolote wewe! Shida ni mjumbe ama ujumbe? Au mnataka mlambwelambwe huku mkielezwa ukweli?
 
Asante mkuu kwa kutambua hili tunajenga nchi moja. Kama kweli unamjali !Mshauri mkuu atoe tamko kusitisha ile biashara haramu inamharibia sana na kutuharibia umoja wa taifa letu.
Lile ni takwa la kikatiba Mkuu hawezi ingilia hilo,hamchelewi kumuita majina ya ajabu,
Nafahamu wangekua wanahama toka ccm,akazuia uchaguzi wa marudio mngeandamna nchi nzima,mkuki kwa nguruwe,kwa binadamu mchungu,vumilieni tu,au kabadilisheni takwa hili bungeni
 
Back
Top Bottom