Zitto ni tishio kwa serikali ya Magufuli kama ilivyokuwa kwa Kikwete!

Hyo Zitto pia mnafki tu na atutajie kwanza majna ya wtu waliowka hla zao Bank ya dunia kma alvyoahd ndio tumuelee co kkosoa tu serekal ya Magu kla anachokfany bac hta mazuri pia apongeze co aseme mabaya tu
Zitto anatafuta kick kama alizokuwa anapata kwa Kikwete sasa hivi hana tena mvuto hata ile kamati ya bunge aliyokuwa anaing'ang'ania ili aweze kupiga deal ameondolewa atabaki mwanasiasa wa magazetini
 
Nimekudharau na nimekupuuza maana najua kwa nini unachuki na Zitto,by the way akiletwa leo na Mbowe utampigia makofi kama ulivyofanya kwa Lowasa ndio maana nasema wapinzani halisi bado hawajaingia kwenye siasa.Sio nyie mazezeta mnaoshabakia kulingana na upepo unapoelekea.

Wewe ndiye lipumbavue unayelazimisha mambo bila hoja. Pumbaveu sana jitukamawewe huna akili ya kujitegemea. Hakuna binadamu mweye akili timamu atakariri matukio. Anaishi kwa historia. Wewe ndiye lipumbavue unaytegemea akili za watu wengine zikuamulie cha kufanya.

Nimesema sisemi na mijitu yenye akili mgando kama wewe. Unadhani watu wote nid ndiyooooooooooo! Ishia huko juha, tena usiniandikie mimi kwa sababu huna maana! Pumbavue sana.
 
Hyo Zitto pia mnafki tu na atutajie kwanza majna ya wtu waliowka hla zao Bank ya dunia kma alvyoahd ndio tumuelee co kkosoa tu serekal ya Magu kla anachokfany bac hta mazuri pia apongeze co aseme mabaya tu
Mi sijawahi kumsikia akisema kuna watu wameweka hela Benki ya Dunia, hii kaisema lini tena ya Benki ya Dunia? Kama ni kweli kakosea hakuna mtanzania aliyeweka hela Benki ya Dunia.
 
Nimekudharau na nimekupuuza maana najua kwa nini unachuki na Zitto,by the way akiletwa leo na Mbowe utampigia makofi kama ulivyofanya kwa Lowasa ndio maana nasema wapinzani halisi bado hawajaingia kwenye siasa.Sio nyie mazezeta mnaoshabakia kulingana na upepo unapoelekea.

Idiot! Huna unachokijua, you are just fumbling around. Pumbaveu zezeta usiyekuwa na hoja. You know me nothing, and do not force me into your stupidity!.
 
Zitto ni kijana hatari mno
Kama magu asipomchukulia hatua anaweza kuathiri utawala wake.
Anahoja nzito na anawafuasi hata huko ccm
Sio kweli, hana hatari yoyote, ila nja ndio hatari! Ningekuwa mimi ndo Magu, yaani nisingepoteza muda hata kujibishana naye. Wabwabwaji hawatakosa, we Magu chapa kazi tuko nyuma yako!
 
Amchukulie hatua Kama nani? Mungu? Magu unayemsema mimi nasema Bila Kigugumizi. Bwana Magufuli hatua Muhimu za Kumnusuru urais wake tena alioupata kwa Kupora Computers za Ukawa, ni Kuacha Unafiki, Udictator na hila za Kitoto kama Kumtumia Stooge Mtungi Kumbeba Lipumba Mbeleko na Kumpa Pesa za CUF za Ruzuku, inayotokana na Wabunge wa CUF ambao Lipumba aliwatelekeza wakati wa Kampeni. What an insult! Ningekuwa CUF Ningemwambia Lipumba yale maneno Mzee wa Upako aliyomwambia Jirani yake, Lakini yangu yasingekuwa ni Kitisho.

Magufuli, Mtungi na Lipumba ni Wanafiki, Wezi na Washenzi sana tena sio Kidogo!
Haahahahahhahahahahhaha watakutekaa msituniii
 
Mkuu inaonekana humjui
Zitto ni mtu wa "talk + talk=empty talk. No action + No action= No results." Je mtu huyo anaweza kuwa tishio hata kwa mwenyekiti wa kitongoji? Fake populist.
Zitto vizuri
 
Haahahahahhahahahahhaha watakutekaa msituniii

Nakuhakikishia hao wote ni Nobody! Wanasema Kuna watoto wa Mjini, some of us here ni Watoto Wa Kimataifa! Mnatishwa Tu hapo Tanzania? Bwana Magufuli unapozungumzia Dunia he is absolutely insignificant and Nobody! Literally no body, Watu wanamsema Obama, Trump, Papa Putin Chi Jing Ping, Jacob Zuma iwe ni huyu Ngosha usitake nicheke.

If anything Madictator wa Africa wanatakiwa waogope watu Kama sisi na Wabadilike haraka, Because never, and never again shall we support civil wars over one individual. We are not interested in power but 1000% interested in getting rid of dictators in Africa Individually!
 
Zitto ni kijana hatari mno
Kama magu asipomchukulia hatua anaweza kuathiri utawala wake.
Anahoja nzito na anawafuasi hata huko ccm

Zitto hana lolote ni debe tupu linalopiga kelele. Kwa seirkali ya Rais Magufuli amekwama hakuna kitu cha kupiga kelelel. Bado mahesabu ya NSSF hajatuelezea
 
Zitto ni kijana hatari mno
Kama magu asipomchukulia hatua anaweza kuathiri utawala wake.
Anahoja nzito na anawafuasi hata huko ccm
HAKUNA KITU KAMA HICHO. ..ALIFUKUZWA CHAMANI KAMA. ....ALAFU NDIYO AWE TISHIO KWA SERIKALI?
 
Nidyo amekutuma umpigie debe ili aingizwe kwenye pay roll kama ilivyokuwa kwa jk? Chama kimekosa mfadhiili, jk kajiondoa ama malengo yake yamekamilka hana shida tena, kasitisha ufadhili, chama kinadaiwa, sasa mmekuja na gia hii ya kumtaka na huyy wa sasa aendelee kutoa uchache? Lol!. Hamna haya kabisa niny i viumbe.
Well said. ...PEUPEEE
 
Back
Top Bottom