The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
Nilimsikia Tizeba akisema "Sijui wengine wana bahati ya aina gani wakiongea maneno yao yanaaminika sana na watu"
Kwa maoni yangu naona alikuwa anasikitika jinsi wanavyotumia nguvu nyingi sana kumjibu Zitto kuwa nchi haina njaa!!
Kwa maoni yangu naona alikuwa anasikitika jinsi wanavyotumia nguvu nyingi sana kumjibu Zitto kuwa nchi haina njaa!!