Zitto ni sikio la kufa lisilosikia dawa?

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

Tangu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe na Mjumbe wa Kamati kuu, Dk Kitila Mkumbo na aliyekuwa Mwenyekiti wa mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba kuvuliwa nyadhifa zao, kumekuwa na mijadala mingi kwenye vyombo vya habari.

Ingetarajiwa kuwa Zitto na kambi yake wangetumia muda huu kutekeleza masharti waliyopewa na Kamati kuu ya chama hicho ndani ya siku 14.

1.png

Badala yake amekuwa akitumia vyombo vya habari kujitetea. Leo yupo kwenye chombo hiki kesho kile, leo gazeti hili, kesho televisheni au redio ile.

Hata kama ameonewa alitakiwa afuate taratibu ikiwa ni pamoja na kuandika barua ya kupinga uamuzi huo wa kamati kuu. Kama haridhiki zaidi, aende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa akalalamike.

Hizo ndiyo ofisi zinazoweza kumsaidia kwa sasa, siyo kulalamika kwenye vyombo vya habari.

Ni sawa na ninaunga mkono jitihada zake ndani ya chama chao, lakini haya siyo ya kutuambia sisi. Aende kuwaambia viongozi wenzake ndani ya chama.

Huo ni udhaifu mkubwa wa Zitto kama kiongozi. Hajui wapi aseme lipi na wapi asiseme. Ni mtu anayekurupuka, hana subira wala utulivu.

Ukiangalia mifano michache tu, utaona Zitto yupo Chadema kimwili lakini kiroho yuko kwingine. Tangu mwaka 2009 alipotaka kugombea uenyekiti wa chama hicho na baadaye kushauriwa kujitoa, Zitto alianza kujitenga taratibu. Mwaka uliofuata wakati wa uchaguzi, wakati wenzake wanazindua kampeni za urais, yeye naye alikuwa akizindua kampeni za ubunge jimboni kwake tena akatangaza kuwa mwaka 2015 kuwa atagombea urais.

Kwa nini Zitto asingejumuika na wenzake kwenye uzinduzi wa kumnadi Dk Willibrod Slaa aliyekuwa akigombea urais? Au ndiyo uchu wa madaraka?

Kama hiyo haitoshi, baada ya kwenda bungeni, Zitto akataka apewe nafasi ya Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani. Kulikuwa na ulazima gani kwa Zitto kwenda kupambana na Mwenyekiti wake kwenye nafasi hiyo?

Baada ya uchaguzi mkuu, siku Rais Jakaya Kikwete alipokuja Dodoma kuzindua Bunge, wabunge wa Chadema wakiongozwa na Mbowe walisusa wakatoka nje ikiwa ni ishara kupinga matokeo ya uchaguzi.

Lakini siku hiyo Zitto hakutokea. Maswali yakazidi, je Zitto amewagomea wenzake?

----Mwananchi

Wewe mwenyewe una ongea mambo ya Zitto hapa JF wakati Dr Slaa alishafunga mjadala! Kunya anye kuku tu akinya bata.....!!!
 
Edelea kuumia ila habari ndi hiyo.zzt Umechagua njia hiyo na iko sahihi!
 
kwani hata ndege anapokwenda kutua mtegoni huwa anaona kuwa anenda kunaswa!!!! huwa anaona yuko sahihi.

Tunapokuwa kumujeshi, askari anakuwa sahihi kukosea akampiga adui hata kama amri ya ku"piga" haijatolewa. Lkini askari huyo huyo hawi sahihi akimpiga mwenzake hata kama aliamriwa kufanya hivyo.

Lengo letu kumpiga ccm kwa visilaha tulivyo navyo, ajabu ya musa huyu mtoto zito anageuzia mtutu wa bunduki kwa vikosi vyake anavyovi-command!!!! akiwa tayari kufyatua risasi za rashasha!!!!! aaah wajameni "tupeni mapumziko"
 
View attachment 124943
Tangu aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe na Mjumbe wa Kamati kuu, Dk Kitila Mkumbo na aliyekuwa Mwenyekiti wa mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba kuvuliwa nyadhifa zao, kumekuwa na mijadala mingi kwenye vyombo vya habari.

Ingetarajiwa kuwa Zitto na kambi yake wangetumia muda huu kutekeleza masharti waliyopewa na Kamati kuu ya chama hicho ndani ya siku 14.

Badala yake amekuwa akitumia vyombo vya habari kujitetea. Leo yupo kwenye chombo hiki kesho kile, leo gazeti hili, kesho televisheni au redio ile.

Hata kama ameonewa alitakiwa afuate taratibu ikiwa ni pamoja na kuandika barua ya kupinga uamuzi huo wa kamati kuu. Kama haridhiki zaidi, aende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa akalalamike.

Hizo ndiyo ofisi zinazoweza kumsaidia kwa sasa, siyo kulalamika kwenye vyombo vya habari.

Ni sawa na ninaunga mkono jitihada zake ndani ya chama chao, lakini haya siyo ya kutuambia sisi. Aende kuwaambia viongozi wenzake ndani ya chama.

Huo ni udhaifu mkubwa wa Zitto kama kiongozi. Hajui wapi aseme lipi na wapi asiseme. Ni mtu anayekurupuka, hana subira wala utulivu.

Ukiangalia mifano michache tu, utaona Zitto yupo Chadema kimwili lakini kiroho yuko kwingine. Tangu mwaka 2009 alipotaka kugombea uenyekiti wa chama hicho na baadaye kushauriwa kujitoa, Zitto alianza kujitenga taratibu. Mwaka uliofuata wakati wa uchaguzi, wakati wenzake wanazindua kampeni za urais, yeye naye alikuwa akizindua kampeni za ubunge jimboni kwake tena akatangaza kuwa mwaka 2015 kuwa atagombea urais.

Kwa nini Zitto asingejumuika na wenzake kwenye uzinduzi wa kumnadi Dk Willibrod Slaa aliyekuwa akigombea urais? Au ndiyo uchu wa madaraka?

Kama hiyo haitoshi, baada ya kwenda bungeni, Zitto akataka apewe nafasi ya Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani. Kulikuwa na ulazima gani kwa Zitto kwenda kupambana na Mwenyekiti wake kwenye nafasi hiyo?

Baada ya uchaguzi mkuu, siku Rais Jakaya Kikwete alipokuja Dodoma kuzindua Bunge, wabunge wa Chadema wakiongozwa na Mbowe walisusa wakatoka nje ikiwa ni ishara kupinga matokeo ya uchaguzi.

Lakini siku hiyo Zitto hakutokea. Maswali yakazidi, je Zitto amewagomea wenzake?

Mara nyingi haonekani kwenye mikutano na operesheni za chama hicho na mawasiliano na viongozi wenzake utayakuta mitandao ya intaneti kama vile Facebook au tweeter au Jamii forum.

Kwa nini hakuwa na mawasiliano mazuri na viongozi wenzake kwenye ofisi zao, hadi ayalete kwenye mitandao ya intaneti.

Hivi leo Zitto akiwa mwenyekiti wa chama si atahamisha siri zote kwenye mitandao yote na vyombo habari? Kutakuwa na chama tena hapo?

Kwa hisani ya Mwananchi Publication

Makala hii ambayo nimekutana nayo huko ndani ya kurasa za Mwananchi imenipa mengi ambayo tumekuwa hatuyaongelei na wanaomtetea Zitto wamekuwa wakifanya bila hoja za msingi ukichukulia historia yake na jinsi alivyoanza kuyumba na kukosa msimamo na kubaki popobawa ndani ya Chadema.

Dhahiri hafanyi jitihada zo zote katika kutekeleza yale ambayo alitakiwa ayafanye ndani ya siku kumi na nne, badala yake yuko busy na kutoa matamko kwenye vyombo mbalimbali iwe radio, runinga au magazeti.

Mwenye akili timamu hutoa tamko mara moja na huwa limeshawafikia walengwa, lakini pale mtu anapoendelea kutoa matamko ya jambo lile lile ni dalili tosha za kuchanganyikiwa na pengine kukosa mwelekeo wa msimamo katika kile alichotakiwa kufanya. Anababaika, na sipokuwa makini yatamkuta ya akila Kabour.
 
Duh kweli Zitto ni janga zito
Zitto Kabwe mpenda sifa za kijinga, fisadi mdogo aliyejifunika branketi la uchungu na mfia nchi, msaliti anayejifanya mwanademokrasia ameaandaa maasi ya kitoto na wenzake, badala ya kuonyesha kutubu, anapaparika na kuwa kama kuku aliyekatwa kichwa. misele ya kiongozi huyu imekusanya wapambe mbuzi anaodhani wanampenda na kumuonea huruma, upambe wao unaongeza uzito wa jiwe alilojifunga shingoni akiwa naelekea kuzama baharini.
 
Hapo ndipo utashangaa vijana wa nchi hii ambao wanataka kuwaaminisha watanzania kuwa wanauweza uraisi kama akina Januari Makamba, Ngereja, Mwigulu n.k. sijaona tofauti ya akili zao na za Zitto ijapokuwa Zitto kwa sifa za kijinga anazojipa na kupachikwa na misukule wake eti ana akili nyingi kuwazidi vijana wote. Kwa anayofanya Zitto mtu unaweza kufanananisha akili zake na matope kwakuwa akishaharibu kabisa na kufukuzwa uanachama wapambe wote watayayuka kama barafu na kumwacha mwenzao akitembea na historia ya nilikuwa.................................................... Na kujiuliza kila baada ya muda , sijui kilitokea nini?
 
Back
Top Bottom