Zitto ni maporomoko ya mto Nile - hayazuiliki kwa kifusi!

Zitto ni Kanika tena matambala kumbe Tumtemeke aka Magindu aka Zitto unafanya biashara ya kitoto hii thread mwanzo ilianzishwa na Magindu umeedit kila neno kwenye chanzo cha uzi huu ili kusuit maneno ya wachangiaji ,kumbe ni kweli ZZK ni kazi yako ya kujiandikia na kujijibu mwenyewe shame shame kwa hiyo umebadilisha title na kuiweka Tuntemeke kwa sababu unaamini wewe ni kijogoo your a deaf stupid

upuuzi mtupu...hivi unajua hata ulitaka kuandika nini???!!!
 
HABIB MCHANGE a.k.a Tuntemeke katika harakati zake za kukibomoa chama imara mara baada ya kuenguliwa kwenye Uchaguzi wa BAVICHA kwa tuhuma za rushwa ya wazi mchana kweupe na ushahidi wa MPESA pesa zilipotokea na aliowatumia,mpaka leo hajakana popote.Ndie huyhuyu alieliuza jimbo la kibaha mjini kwa njaa njaa zake.. huyu anatumika na kulipwa ujira mdogo na watu wenye tamaa kali ya madaraka..
 
Back
Top Bottom