Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,328
Kamanda Zitto yuko hewani kwenye kipindi cha kumekucha cha ITV akiongelea walioficha fedha Uswis.
Kamanda Zitto yuko hewani kwenye kipindi cha kumekucha cha ITV akiongelea walioficha fedha Uswis.
"Fedha zimetoka hazina kwa ajili ya ununuzi wa mafuta ya kuendesha mitambo na watu wamechikichia, mafuta hayaja nunuliwa na hakuna hatua zilizo chukuliwa"
kaka naomba uendelee kutujuzaKamanda Zitto yuko hewani kwenye kipindi cha kumekucha cha ITV akiongelea walioficha fedha Uswis.