Zitto ndani ya kipindi cha Dakika 45 za ITV - Machi 16, 2015

Status
Not open for further replies.
Akili zako zipo mnyeoni kwako
kweli we ni mahakama ya kadhi, unaonyesha uandunje wako kifikra ka wale wanaokomalia mahakama ya kadhi ktk katiba ya JMT bila enough justifications. Eti Dr. Slaa hana elimu ya darasani ana elimu ya dini tu!, umekosea kuandika au umefikiri kwa bahati mbaya?, me sio cdm lakini kwa hilo umechemka. Kwani unafahamu Dr. Slaa ana udokta katika nini?, au unadhani ni wa kutunukiwa ka mzee wa kaya?, afu kwani elimu ya dini haitolewi darasani?, jifikirie tena mzee wa mahakama isiyo na kazi wala tija kwa watz wote.
NAWASILISHA
 
Bora wakose wote kuliko kumuona zitto anag'aa.Namchukia TL mapovu.

Wapi huko ambapo zitto anang'aa kuliko Lisu?
Zito hata ushawishi wake kigoma kwao ni wa mashaka, km huamini angalia matokeo ya Serikali za mitaa kwenye jimbi LA lisu na LA Zitto kisha rudi sema tena kingine
 
Kwamba hiyo sio document ya Chadema kwa kauli ya Katibu Mkuu hilo umelikubali. Kwamba Zitto amefukuzwa uanachama kwa kauli ya Mwanasheria wa Chama hiyo wewe na Pasco hamtaki kusikia na hapo ndipo msingi wa zitto kuonewa!!! Mna akili gani nyie? Ok tu assume huo waraka ni Mbowe kautengeneza, mbona nyie mnaomtetea Zitto hamleti ushahidi wa Mbowe kutengeneza huo waraka? Zitto biashara yake na Chadema ilishaisha. Haitarudi kuwa kama ilivyokuwa. Chadema wameshamfungulia mlango wa kuondoka. Zitto hatakiwi chamani. Vyote hivi anavijua. Si mmwambie aende CCM? Kama ni cake kiasi hicho si ahamie kwenye vyama vyenu? Why chadema tu?

Mie binafsi ningefurahi Zitto sio aambiwe tu bali apewe kabisa barua rasmi ya kufukuzwa Chadema.Hii ya kutompa barua rasmi na kutoipeleka kwa spika wabunge ili aondolewe bungeni ndio inaleta picha kama Chadema hawajiamini hivi na wanachokitaka.

Ni aibu kwa chama kama Chadema kuwa na kigugumizi.Kanuni za chama mnasema zipo wazi, then iandikwe barua atolewe rasmi.Hofu ya kutotoa barua ya nin?
 
Last edited by a moderator:
Akili zako zipo mnyeoni kwako

Umeguswa!!! mpaka unahisi majibu ni matusi. Au umeshapata Gongo. Maana mgombea wenu wa urais sijui ndio kuzeeka alitoa ahadi ya kuwaletea mitambo ya kutengenezea Gongo.

Nawasiwasi huenda imeshawasili
 
Asante kwa taarifa. Kwa walio nje ya nchi, msiwe nawasiwasi, nitawasiliana na uongozi wa JF, niwawekee humu live video streaming kama ITV itakosekana live on line!.

Na kwa akiba ya ambao hawaona, nitawarekodia kwenye explora ya M-net na kuwatupiamo humu.

Kwa sasa Zitto ndio mwanachama muhimu kuliko mwanachama mwingine yoyote wa Chedema, nyota yake iko juu sana!, wasafiriaji nyota za wengine, wanafanya juhudi kubwa kutaka kuizima, au kuitia kiwingu au kivuli ili kuipunguza mng'aro!, watashindwa!.

Kwa msio jua, uanachama wa Chadema haupatikani kwa kutangaza na kufutwa uanachama, haufuti kwa kutangaza kwenye media!.

ZZK bado ni mwanachama hai na mtiifu wa Chama cha Demokrasia (jina?) na Maendeleo (hasi), Chadema!.

Pasco

Huo umuhimu wake kuliko wanachama wengine ndiyo CHADEMA hawautaki. Achukuwe time ili aweze kuimarisha ACT, huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja. Nafikiri ACT inamuhitaji kuliko CHADEMA inavyomuhitaji. Kwa nini anang'ang'ania CHADEMA kama hawamtaki? Mwishowe watasema ni MCHAWI.
 
Mie binafsi ningefurahi Zitto sio aambiwe tu bali apewe kabisa barua rasmi ya kufukuzwa Chadema.Hii ya kutompa barua rasmi na kutoipeleka kwa spika wabunge ili aondolewe bungeni ndio inaleta picha kama Chadema hawajiamini hivi na wanachokitaka.

Ni aibu kwa chama kama Chadema kuwa na kigugumizi.Kanuni za chama mnasema zipo wazi, then iandikwe barua atolewe rasmi.Hofu ya kutotoa barua ya nin?

wa kumfukuza zitto cdm sio Lisu mkuu ebu waulize wachaga vizuri a.k.a wahafidhina.
 
Mie binafsi ningefurahi Zitto sio aambiwe tu bali apewe kabisa barua rasmi ya kufukuzwa Chadema.Hii ya kutompa barua rasmi na kutoipeleka kwa spika wabunge ili aondolewe bungeni ndio inaleta picha kama Chadema hawajiamini hivi na wanachokitaka.

Ni aibu kwa chama kama Chadema kuwa na kigugumizi.Kanuni za chama mnasema zipo wazi, then iandikwe barua atolewe rasmi.Hofu ya kutotoa barua ya nin?
Usiwe mpuuzi, kumwandikia Zitto hiyo barua na makorokoro mengine yanafuata baada ya Chadema kupata nakala ya hukumu. Hadi ijumaa nakala ilikuwa bado kuwafikia Chadema. Sasa Chadema wataandikaje hiyo barua? Na Zitto tunamjua anayataka mafao ya ubunge. Akishapata hukumu lazima akate rufaa kung'ang'ania kuwa Mwanachama wa CDM. Lissu ameamua kuwahi kuwaambia wananchi na wapenzi wa Cdm kuwa Zitto hatumtaki. Nami nakwambia leo kuwa Zitto hatuna haja nae. Mchukueni kama mnampenda sana ila kwa Chadema ni NO!
 
Mara ya mwisho kumsikiliza Zitto, ni kipindi kile 6 alipokuwa spika wa bunge la Tanzania. Siwezi kuwasikiliza Zito, Mwakyembe, Kirango, 6 na Nepi - wote hao ni wachumia tumbo
 
Hapana mkuu mbowe akili ameitoa wapi wakati alipata zero halafu slaa hana elimu ya darasani anaelimu ya dini tu.

we ndio zero brain kweli, inaonesha watoto wako wanaakili kuliko ww, hv mtu mwenye elimu ya darasani ndo anaakili kuliko mwenye elimu ya dini, huna kitu kichwan ndugu umejaza kamasi tu puani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom