ZITTO, NAPE live on Radio One

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,629
kwa wenye access na Radio sikilizeni mahojiano kuna mwakilishi wa wananchi bwana Temba, Zitto na Nappe. Au fuatilieni thread hii kwa updates.
 
kwa wenye access na Radio sikilizeni mahojiano kuna mwakilishi wa wananchi bwana Temba, Zitto na Nappe.

Maajabu mtangazaji Isaac Gamba anamuuliza Nape ajibu hoja za kiserikali kazi kwelikweli.
 
Nape anasema hatu ya mawaziri kusuguana na manaibu wao hadhani kama wanaweza kufanya kazi pamoja. Kuhusu kutisha wabunge amekanusha kwamba chama hakijafanya hivyo na kitendo hicho ni uvunjaji wa katiba ya nchi. Ni zamu ya Zitto.
 
Mkuu Zito huyo Gamba anathubutu kukaa na wewe hapo? Mpige chini mwite bosi wake mkuu aje.
 
Kuhusu kukodisha ndege Zitto anasema dhamana ilitolewa na Mkullo kinyume cha sheria na nundu kosa lake ni kuingilia Procurement ya bandari lakini ambacho yuko sahihi ni kuzuia gharama kubwa za ujenzi wa Gati 13 na 14.
 
anasema Zitto kuwa kwa nini waziri mkuu asiwe na uwajibikaji zaidi kusimamia wizara zake? Amesema pia kama hawatajiuzuru basi wabunge wote watakwamisha bajeti ya Wizara za serikali kuanzia ngazi za kamati.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom