Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,623
Zitto umetoa wapi kibes cha kumtukana mtukufu rais akina nani wako nyuma yako au mafisadi wa Richmond na escrow wako nyuma yako au kwa kuwa umedhibitiwa upigaji dili wako mfano ule uliopiga pale Kigamboni wewe una uwezo gani wa kumsulubu mtukufu yaani wewe umsulubu Magufuli sio kweli Zitto nahis kuna watu wako nyuma yako si bure jichunge sana utapotea