MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
Mimi bado nipo kwenye makinikia kunitoa huko mpaka wale wote waliotajwa wakamatwe
Kikwete alisema hizi sio pesa za umma,ni pesa binfsiTatizo ni JK habebeki bora tu turuhusiwe kumjadili kwa maovu aliyotufanyia watanzania...chonde chonde JPM Huyu Kikwete afilisiwe ndio ROHO za watanzania zitatulia na kukuunga mkono kwa dhati ya mioyo yetu
Zito amesahau alihukumu kesi ya kafulila kunyimwa ubunge amepandishwa cheo na rais huyu huyu,kwa kumnyima kafulila ubungeZitto simpend hata kumsoma
Ndiyo umemsoma sasaZitto simpend hata kumsoma
Nimecheka sana hilo jina. Hili zee lilitutukana sana sisi wananchi. Ngoja kila mtu avune alichopanda. Mungu alimwona bila shakaBado lodilofa
Tatizo ni JK habebeki bora tu turuhusiwe kumjadili kwa maovu aliyotufanyia watanzania...chonde chonde JPM Huyu Kikwete afilisiwe ndio ROHO za watanzania zitatulia na kukuunga mkono kwa dhati ya mioyo yetu
Ila kila thread inayomhusu huwezi kuacha kuisomaZitto simpend hata kumsoma
Ila che nkapa asiguswe?Tatizo ni JK habebeki bora tu turuhusiwe kumjadili kwa maovu aliyotufanyia watanzania...chonde chonde JPM Huyu Kikwete afilisiwe ndio ROHO za watanzania zitatulia na kukuunga mkono kwa dhati ya mioyo yetu
Subiri tu kesho utasikia Kangi akihamasisha wenzake waandamane Karasinga wa Escrow kakamatwa.Una akili sana. Hawa jamaa walituweka mfukoni. Nataka huyu jamaa aje asema kuhusu hizi fedha kama za umaa au sio za Umma.=>Kangi Lugola: Ni Kweli Fedha za Escrow sio Fedha za Umma?
Wakuu, naomba mje mnijibu sasa juu ya huu uzi.
Hili swali lilikua la msingi sana.... Bahati mbaya wanaotolewa kafara huwa wafanyabiashara tu ila wanasiasa hulindwa. Kiufupi ukurasa wa Tegeta Escrow umefungwa rasmi hku wahusika halisi bado wapo ofisi za serikali wakiendelea kutumbua pesa tu.Na wale waliopokea mshiko toka kwa hawa jamaa watapelekwa mahakamani au la. Vipi wale waliochota bank kwa viroba sio wahujumu uchumi. Ahsante Magu hitakuchagu tena 2020