Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,357
- 11,503
Najiuliza ni wapi Mh. Magufuli alikosana na Zitto Kabwe. Siku ambayo Mh. Anaingia Bungeni nakumbuka Wapinzani walitoka Zitto alibaki Bungeni kumuunga mkono Mh. Magufuli.
Tumaini lake lilikuwa ni nini na matokeo yake yamekuwa nini? Inafahamika Zitto alikuwa akila vizuri kipindi cha Kikwete.alikula mezani na wakubwa. Sababu alinawishwa mikono ikawa inafaa kula na wakubwa.
Mategemeo yake yalikuwa vivyo hivyo.kuwa angeendelea kula na wakubwa sababu mikono yake ilinawishwa. Matokeo yake yakawa kinyume. Magufuli hakumwalika mezani Zitto kwa kusema kuwa ana mikono michafu.
Hili ni jambo ambalo lilimtesa Zitto Kabwe na kwa hasira kuamua kubadilisha mtizamo. Wapinzani wengine wshawahi muuliza Zitto Kabwela kuwa ni nini ambacho hasa kilimfanya amkubali Magufuli ambacho sasa kimekuwa tofauti?
Kama Zitto alikuwa na akili angegundua mapema Mh.Magufuli ni Rais wa namna gani toka siku ile kasikia kuwa Magufuli ndiye Rais. Hivyo kama kumkataa angemkataa mapema.
Zitto alinyimwa nafasi nyeti za kamati zilizokuwa zinampatia pesa nyingi sana kipindi cha kikwete.hili jambo limemghadhibisha sana zitto.au aseme kama kuna jambo jingine.
Nini ambacho alikuja kugundua siyo na kilikuwepo zamani kwa magufuli? Toka akiwa Waziri Magufuli yupo hivi hivi alivyo.hakuwahi pretend hata kidogo. Chuki binafsi za Zitto ndizo zinazomtesa kwa sasa. Maana amekosa kila kitu kabaki na Ubunge tu ambao inawezekana pia akaja kuukosa mwaka 2020.