Zitto na Wabunge, Zitto na CHADEMA, Zitto na Urais...

Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna. Zitto anataka kuvuna wakati wa kupanda.
CDM ipo katika harakati za kujijenga, kuelimisha umma, na kutafuta wanachama ili hatimaye kumkomboa Mtanzania.

Yeye zitto, tena bila aibu, akiwa kama naibu katibu mkuu, badala ya kujenga chama, ana harakati za kuutaka Urais 2015.
Amekuwa ndio mtanzania wa kwanza kutangaza nia ya uraisi, tena wakati ambapo nchi ipo katika changamoto nyingi.

Na hii ni mara ya pili, wakati ule kampeni zilipopamba moto Arumeru pia alitangaza nia.

Naanza kuamini kuwa Zitto ni kibaraka wa magamba mwenye nia ya kuiua CDM.
Hakika Zitto sio wa kuaminiwa, ni mtu wa kuwa makini naye!

...Naanza kuamini kuwa Zitto ni kibaraka wa magamba mwenye nia ya kuiua CDM.
Hakika Zitto sio wa kuaminiwa, ni mtu wa kuwa makini naye!
Inawezekana sio kibaraka. Uwezekano mkubwa ni kuwa anatumika bila kujijua kwa manufaa ya CCM. CCM wangependa CDM kuwepo na migogoro ambayo itakigawa/kukidhoofisha na hivyo kuipa CCM nafasi ya 'kupumua'.

Hata hivyo hili suala la Zitto kuutaka urais bado sioni ni kwa nini linaleta shida hasa kama tunazungumzia 2015. Kwa katiba iliyopo sasa, Zitto bado atakuwa hajatimiza sifa za kuwa Rais wa nchi hii kwa sababu umri wake utakuwa bado upo chini ya ule unaotakiwa. Na kama tunazungumzia 2020, bado sioni tatizo kwani by then wengi wa potential candidates wa sasa wa CDM watakuwa na umri mkubwa ambao pengine by itself inaweza kuwafanya wasiwe kivutio. Kwa hiyo, kwa vyovyote vile, sioni ni kwa vipi Zitto anakuwa tishio ndani ya CDM linapokuja suala la nafasi ya urais!.

Hatari kubwa kwa CDM ni uhusiano wa Zitto na CCM pamoja ungwaaji mkono (apparent) anaoupata kutoka huko. Kuna kila dalili ya kutengeza makundi ndani ya CDM ambayo hayana manufaa katika mustakabali kwa chama hicho.
 
kimsingi mhe; zito ni mwanadamu kama walivyo wanadam wenngine.. but for now ame prove failure,,, kama wengine walivyo weak.. lakini alitakiwa kujifunza kuelewa kuzingatia kama wenzake wanavyo kiheshim chama,, na watanzania kwa ujumla,, mbona lissu hayuko kama yeye amejikalia kimya.. makani na wengine walitulia kimya kuheshim taratibu na kaanuni za chama,, hawakuwa na haraka,, kuliko upesi ,,!! istoshe kama chama kikijirisha na kumuona anafaa si watamputisha,, na kumpa nafasi agombeee..?? iwapo watanzania wana imani nae na chama husika kikiridhia at a right time t,, ataruhusiwa ,, asiwavuruge chadema,, AWE NA SUBIRA MAMBO MAZURI HAYATAKI HARAKA:A S 465::A S 465::israel:
 
Chadema wapo kwenye kasi sana na wanakubalika hata vijijini,2010 Dk.Slaa alifanya kazi ya aina yake ktk Kampen kikubwa zaidi ni mzoefu ktk siasa. Huyu Kabwe asitake kuleta Mbwembwe zake kama anashauriwa na Wema Sepetu.....
 
Nilishasema Zitto hafai niki refer gazeti la mwanahalisi, pili Mbowe pia alishajaribu urais hata jimbo lake halikutikisika. Watanzania tunamjua Dr. Slaa ndiye Chadema na team yake yote. Hivyo Zitto anang'ata na kupuliza kazi kulipua watu ambao hata chama cha mapinduzi kimewachoka
 
Tuliyesoma naye toka Tosamaganga mpaka Mlimani TUNAMJUA VIZURI ZITTO. hatupi shida.. Alianza vizuri ila naona anapoelekea pabaya sana... NIAMINI ATAJIPOTEZA MWENYEWE KWENYE ULIMWENGU WA SIASA..
 
Chadema wapo kwenye kasi sana na wanakubalika hata vijijini,2010 Dk.Slaa alifanya kazi ya aina yake ktk Kampen kikubwa zaidi ni mzoefu ktk siasa. Huyu Kabwe asitake kuleta Mbwembwe zake kama anashauriwa na Wema Sepetu.....

chadema inakubalika na wewe 2 watu sikuizi wana anza kua na mwamko watu hawjali sana chama bali wanajali huyu ni nani nakama uwamini kama MTIKILA AU MENGI AU HATA WEWE MRETA MADA kama utagombea mgombea binfsi na sela malengo yako yata eleweka utapita 2
 
Zitto mwanamme anawatoa povu la mdomo wanaume wenzake mwenzenu ametilia nyie mnazidi kuuza jina lake, ebu kaeni mfikiri msikurupuke na habari zakusikia vijiweni!
 
Zitto ana overconfidence. Anamajivuno na kiburi cha kujiamini kuwa hakuna mwenye uwezo zaidi yake. Zitto hamkubali dk slaa kwani amefanya yy aonekane si lolote ndani ya cdm. Anapenda kumpinga dk slaa kwa namna ambavyo wengi hawaelewi lakini busara za dk slaa ndo zinazima mtafaruku. Kiukweli Zitto nimleta fujo na anatamaa ya madaraka. Ikulu hakukimbiliwi kaka.
 
Zitto mwanamme anawatoa povu la mdomo wanaume wenzake mwenzenu ametilia nyie mnazidi kuuza jina lake, ebu kaeni mfikiri msikurupuke na habari zakusikia vijiweni!

mpaka sasa chadema bado wapo kwenye ndoto ya ALLYNACHA...kwa style hiyo CHADEMA hata miaka 100 ijayo bado chadema haiwezi tawala kwa sababu eti kipo KARATU..MOSHI..ARUSHA DAR..MBEAMJINI MARA MJINI ndio utawle wa TANZANIA ??? basi kama ndio ivyo TZ.hakuna siasa na wa TZ hawajui nini wanaitaji katika maisha yao ..
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni vijana wengi wameijua CDM kupitia mgongo wake Zitto lawama mnazompa hazilingani kabisa na alichokifanyia CDM ni kama binaadam anaweza kufanya kosa kwani si anao viongozi wake bac aitwe arekebishwe si vyema kumtupia lawama au kuna kitu nyuma ya pazi

Wahenga walisema, Mgema ukiusifia, tembo hutia maji, ndicho nacho ona kwa bwana mdogo Zitto Zuberi Kabwe, kihalisia, kija uwezo anao mkubwa tu lakini tamaa na kuto kuwa pampja naye ndicho kinacho muharibia, hivi angetulia na kujenga timu ya pamoja kwa umri wake huu wa miaka 36 mbona naona ana great future, aliianza kujingea sifa kupitia mkataba wa madini Buzwagi, akaja akaharibu alipotia nia ya kugombea umwenyekiti wa chama (Kikatiba alikuwa sahihi, matamshi aliyokuwa akiyatoa na kampani aliyokuwa akiipata hasa toka CCM na other mafisadi like Rostam, Chenge na UVCCM ya wakati huo ndio vilivyo m discolify mbele ya jamii), dogo akajisahihisha kwa kuwa mzuri bungeni of course na ile barabara ya kule kwao Manyovu/Kalinzi, lakini tena akaja akaharibu mara baada ya kufumaniwa na Saed Kubenea kupitia mawasiliano yake na akina Rostam, Lowasa, Chenge na mtandao wao, kabla ya M4C, alijiweka vizuri sana Bungeni na issue ya zao la Mkonge kule Tanga, kweli alijipanga hata akaonekana mzalendo wa ukweli, lakini kwenye kampeni za Arumeru, hakutia timu kabisa though alionekana Mwanza kwa kampeni za Udiwani, may be ni makubaliano yao CDM, lakini urafiki wake na watu wa magamba pamoja na kuto kuwa pamoja katika makubaliano wanayoyafanya wenzie utakuta yeye hayupo, hii inampa dosari sana.

Urafiki wake wa karibu na bwana Ramadhani Semtawa ambaye kila kukicha huichafua CDM lakini anamsifia Zitto, nalo hili litupa maswali mengi sana wana mageuzi, upo usemi usemao, show me your friends then i will tell you who you are.

Kuwa msomi sio kigezo hasa cha kuwa kiongozi mzuri, team building ni muhimu sana kwa kiongozi yeyote duniani, huwezi fanikiwa kwa kuua timu yako huku ukipendelea timu nyingine.
 
Njoo huku kiongozi ujibu tuhuma hizi Zitto

chadema mpaka sasa inasimama kwa ajili yawatu fulani kama ilivyoku NSR ilikua kipindi kile sababu ya LAMWAI.MREMA..MARANDO.. na walipotoka hao chama kilpote ndio chadema leo hii akitoka ZITTO na SILAA Kigoma hakuna chadema na karatu hakuna chadema bado chadema sio chama tishio tulieni muangalie upepo kwanza ndio muanze malumbano ya hoja nduzangu wakati ukifika 2 tawapenda 2
 
Last edited by a moderator:
sina nia ya kupinga nia ya zitto ya urais 2015 bali ninachotaka kusema ni kuwa kila jambo lina wakati wake.
Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna. Zitto anataka kuvuna wakati wa kupanda.

Cdm ipo katika harakati za kujijenga, kuelimisha umma, na kutafuta wanachama ili hatimaye kumkomboa mtanzania.

Yeye zitto, tena bila aibu, akiwa kama naibu katibu mkuu, badala ya kujenga chama, ana harakati za kuutaka urais 2015.
Amekuwa ndio mtanzania wa kwanza kutangaza nia ya uraisi, tena wakati ambapo nchi ipo katika changamoto nyingi.

Na hii ni mara ya pili, wakati ule kampeni zilipopamba moto arumeru pia alitangaza nia.

Naanza kuamini kuwa zitto ni kibaraka wa magamba mwenye nia ya kuiua cdm.
Hakika zitto sio wa kuaminiwa, ni mtu wa kuwa makini naye!

mimi ni muislam haswaaaa! Lakini linapofika swala la ukweli lazima niseme.
Kwanza kabisa nachukia udini kupita kiasi. Mimi ni muislam moderate yaani aliye staarabika na dini yetu inatufunza tuwe wastaarab sasa ajabu ni kuwa mara nyingi tunafanya vitu pasi ustaarab! Nakubali kabisa kuwa kuna watu wachache mathalani mtu kama msigwa..yeye ni mchungaji sasa kutokana na kuathiriwa na imani yake inawezekana amepotoka katika kauli yake. Japo kwangu sioni tatizo la swali lake. Kwa kuwa kufunga hakupasi kushuritishwa mtu mwingine asiye wa imani yako. Ni kama vile kumlazimisha mtu aingie kwenye dini yako wakati yeye ni muumini wa dini nyingine. Kuhusu swala la zitto kabwe. Mimi naona si vibaya kutangaza kuwania urais. Tatizo langu ni njia na msisitizo anaotumia. Inasikitisha sana pale unapoona wenzake wanajenga chama yeye anabomoa. Na kiri hilo kabisa kuwa anabomoa maana amekuwa akijijenga yeye na kutooshirikiana na wenzake katika m4c! Pia nawaasa waislam wenzangu waache udini. Isitokee kwamba mnamuunga zitto mkono kwa sababu za udini. Si zani kwamba dini ni kigezo sahihi cha kumuunga mtu mkono! Labda lingine ambalo kwangu ninashaka nalo ni jinsi mheshimiwa zitto alivyobadilika. Katika kipindi kama hiki huko nyuma zitto alikuwa mtu wa kuchachafya serikali kwa mada kalikali. Lakini sasaaaaa duuuuuuuuuuuuu! Yaani ni ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...hakuna kitu. Hofu yangu inawezekana kabisa anatumika!!!!!!!!!!!!!!!
 
mpaka sasa chadema bado wapo kwenye ndoto ya allynacha...kwa style hiyo chadema hata miaka 100 ijayo bado chadema haiwezi tawala kwa sababu eti kipo karatu..moshi..arusha dar..mbeamjini mara mjini ndio utawle wa tanzania ??? Basi kama ndio ivyo tz.hakuna siasa na wa tz hawajui nini wanaitaji katika maisha yao ..

ulisha enda mbozi ukaiona chadema ilivyojaa,tunduma, njombe,tarime,kagera,shinyanga,mwanza,manyara? Acha hizooooooooooooooo!
 
mimi ni muislam haswaaaa! Lakini linapofika swala la ukweli lazima niseme.
Kwanza kabisa nachukia udini kupita kiasi. Mimi ni muislam moderate yaani aliye staarabika na dini yetu inatufunza tuwe wastaarab sasa ajabu ni kuwa mara nyingi tunafanya vitu pasi ustaarab! Nakubali kabisa kuwa kuna watu wachache mathalani mtu kama msigwa..yeye ni mchungaji sasa kutokana na kuathiriwa na imani yake inawezekana amepotoka katika kauli yake. Japo kwangu sioni tatizo la swali lake. Kwa kuwa kufunga hakupasi kushuritishwa mtu mwingine asiye wa imani yako. Ni kama vile kumlazimisha mtu aingie kwenye dini yako wakati yeye ni muumini wa dini nyingine. Kuhusu swala la zitto kabwe. Mimi naona si vibaya kutangaza kuwania urais. Tatizo langu ni njia na msisitizo anaotumia. Inasikitisha sana pale unapoona wenzake wanajenga chama yeye anabomoa. Na kiri hilo kabisa kuwa anabomoa maana amekuwa akijijenga yeye na kutooshirikiana na wenzake katika m4c! Pia nawaasa waislam wenzangu waache udini. Isitokee kwamba mnamuunga zitto mkono kwa sababu za udini. Si zani kwamba dini ni kigezo sahihi cha kumuunga mtu mkono! Labda lingine ambalo kwangu ninashaka nalo ni jinsi mheshimiwa zitto alivyobadilika. Katika kipindi kama hiki huko nyuma zitto alikuwa mtu wa kuchachafya serikali kwa mada kalikali. Lakini sasaaaaa duuuuuuuuuuuuu! Yaani ni ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...hakuna kitu. Hofu yangu inawezekana kabisa anatumika!!!!!!!!!!!!!!!
waambie kiongozi walimchagua kikwete kwasababu ya udini ona sasa je ni wakristo pekee wanaopata tabu au na wao sote tunateseka?
 
Zitto ana overconfidence. Anamajivuno na kiburi cha kujiamini kuwa hakuna mwenye uwezo zaidi yake. Zitto hamkubali dk slaa kwani amefanya yy aonekane si lolote ndani ya cdm. Anapenda kumpinga dk slaa kwa namna ambavyo wengi hawaelewi lakini busara za dk slaa ndo zinazima mtafaruku. Kiukweli Zitto nimleta fujo na anatamaa ya madaraka. Ikulu hakukimbiliwi kaka.

Umeeleweka Simbachawene!!umepata Azam leo?
 
chadema mpaka sasa inasimama kwa ajili yawatu fulani kama ilivyoku NSR ilikua kipindi kile sababu ya LAMWAI.MREMA..MARANDO.. na walipotoka hao chama kilpote ndio chadema leo hii akitoka ZITTO na SILAA Kigoma hakuna chadema na karatu hakuna chadema bado chadema sio chama tishio tulieni muangalie upepo kwanza ndio muanze malumbano ya hoja nduzangu wakati ukifika 2 tawapenda 2

Vyama vyote Duniani husimama kwa sababu ya watu.
Bado sijasikia mahala ambapo chama kilisimama kwa sababu ya mawe
 
habari zenu. ndugu zangu mabibi na mabwana. kwa mara ya pili naingia tena ktk jukwaa hili. jana nilitoa angalizo kwamba jf badala ya kuwa the home of great thinkers inaweza kuwa the home of stupid thinkers. angalizo langu lilitokana na kuwapo baadhi ya mijadala na taarifa kuhusu watu ambazo ni cooked! naomba sasa nijibu tuhuma chache dhidi yangu hasa kuhusu zitto. kwanza, watu wote walionijadili humu hawanijui vema. ndo mana wamepotosha mengi. kwanza, nasititiza weledi na uadilifu ktk uchangiaji mada. kuhu
 
Back
Top Bottom