ZITTO na siri za kamati ya madini

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
825
Hivi ataendelea kutoa siri za kamati mpaka lini? maana kila akimaliza vikao asubuhi huyooooo anakimbilia kwenye fisi yake na timu yake pale Bungeni Dododma wanaingia JAMII FORUMS kumwaga upupu.

Hivi hiyo ndio Standard Operation Procedures za hizo kamati au za CHADEMA?

kusema ukweli mie mwenyewe napenda sana kusoma upupu lakini hamuoni hii inaweza ikawa na madhara baadae? lets say kila kitu kiko fine kisha akaingizwa kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama je tunaweza kum count in huyu Zitto au?
 
Be specific pls...Otherwise hii iende kwenye UDAKU.
Mods pls...Angalieni watu wenye kuleta shutuma na tuhuma bila maelezo ya kutosha.
Sasa hivyo vikao vya asubuhi mlikuwa mko wote kabla hajaja hapa jf?
Ama GT na wewe ni mbunge?
Kama si mbunge basi umetumwa na mtu mwenye maslahi.
 
Hivi ataendelea kutoa siri za kamati mpaka lini? maana kila akimaliza vikao asubuhi huyooooo anakimbilia kwenye fisi yake na timu yake pale Bungeni Dododma wanaingia JAMII FORUMS kumwaga upupu.

Hivi hiyo ndio Standard Operation Procedures za hizo kamati au za CHADEMA?

kusema ukweli mie mwenyewe napenda sana kusoma upupu lakini hamuoni hii inaweza ikawa na madhara baadae? lets say kila kitu kiko fine kisha akaingizwa kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama je tunaweza kum count in huyu Zitto au?

You are stuck in the past mkuu.
 
GT

You are bigger that this...huwezi kutoa shutuma kama hizi bila kuweka ufanunuzi.

Tafadhali fafanua tuhuma zako au futa mwenyewe hii topic.
 
Mwenyewe atakuja kusoma na atakuambieni wenzake kwenye kamati wanasemaje.

Wewe unayejua kwa nini usituambie wenzake kwenye kamati wanasemaje. Topic ya tuhumua uanzishe wewe halafu burden of proof umpe mwingine. Kama sio udaku ni nini?
 
mathalani siri gani bwan GT, hebu tueleze kidogo, maana sijakuelewa vyema!
mimi ninavyofahamu kamati ishatimiza majukumu yake,na ripoti ishakabidhiwa kwa raisi na hata bunge tayari washadiscuss, sasa hebu tuweke wazi kwa logic au data au both logic na data, ni siri zipi na upupu upi?
 
Acha hizo wewe. Wenzake kwenye kamati akina nani hao?

Chochote ambacho Zitto huwa anaweka hapa huwa ni kile ambacho kipo kwenye public domain na within the rules, vinginevyo speaker angeshamshukia.

It seems there is something bigger you want to say but you haven't just said it yet, bring on now!
 
Zitto nii mheshimiwa anayetusaidia sana wananchi, lakini kuna mijadala mingi kwa kweli nadhani ni vitu ambavyo baadaye atajifunza na muda tu!

Issue nyingine ni namna ya ku-present mambo yake... mara nyingi aidha yuko defensive sana... au anaonyesha wengine hawajui, hawafikirii etc... hii ni weakness anayotakiwa kui-address... hili linawakuta vijana wengi sana...

Unaweza kupinga jambo lakini presentation yako ikasababisha usipate upinzani wowote.
 
Hivi ataendelea kutoa siri za kamati mpaka lini? maana kila akimaliza vikao asubuhi huyooooo anakimbilia kwenye fisi yake na timu yake pale Bungeni Dododma wanaingia JAMII FORUMS kumwaga upupu.

Hivi hiyo ndio Standard Operation Procedures za hizo kamati au za CHADEMA?

kusema ukweli mie mwenyewe napenda sana kusoma upupu lakini hamuoni hii inaweza ikawa na madhara baadae? lets say kila kitu kiko fine kisha akaingizwa kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama je tunaweza kum count in huyu Zitto au?Game Theory ,

Siri gani za kamati ....yaani watanzania wanavyoibiwa wewe unaziita siri za kamati ? Mbona tunapenda sana kutetea statu quo ?
 
Walianzia kwa Kubenea...Naona wamehamia Zitto...Lakini Slaa aliyewaambia wachane na Kubenea wamkamate yeye...wanamzunguka zunguka tu...Hawataki hata kumtaja...Hawana hoja..Wanaleta vihoja.
 
Mods kama mnaona hapa si mahala pake ihamisheni

maana wenyewe inawezekana inawaudhi
 
GT,
The issue siyo kwamba mada yako inamwudhi nani. The issue hapa ni kwamba wewe hujawa clear. Unapotoa shutuma liweke wazi si kuandika kimafumbo mafumbo.
 
Mods kama mnaona hapa si mahala pake ihamisheni

maana wenyewe inawezekana inawaudhi

Sio kwamba inawaudhi, ila hujaonyesha hoja ya kujadiliwa!

Hivi ataendelea kutoa siri za kamati mpaka lini?

Siri gani? Kamati ipi? Zitto kashiriki kwenye kamati nyingi! mpaka za chama (CHADEMA)

kusema ukweli mie mwenyewe napenda sana kusoma upupu lakini hamuoni hii inaweza ikawa na madhara baadae?

Sasa kama wewe umeshahisi kuna madhara lakin bado unatuambia unapenda kusoma huo upupu! Sasa watu wajadili nini hapo?

Bora uwe "baridi" ama "moto", kuliko kuwa "vugu-vugu" ... ukichukia chukia kweli, ukipenda penda kweli!
 
Hivi ataendelea kutoa siri za kamati mpaka lini? maana kila akimaliza vikao asubuhi huyooooo anakimbilia kwenye fisi yake na timu yake pale Bungeni Dododma wanaingia JAMII FORUMS kumwaga upupu.

Hivi hiyo ndio Standard Operation Procedures za hizo kamati au za CHADEMA?

kusema ukweli mie mwenyewe napenda sana kusoma upupu lakini hamuoni hii inaweza ikawa na madhara baadae? lets say kila kitu kiko fine kisha akaingizwa kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama je tunaweza kum count in huyu Zitto au?
Kwa ulichoandika nilitarajia mpaka sasa uoneshe wapi alipoandika au kuumwaga upupu wa SIRI ZA KAMATI YA MADINI na hizo SIRI niweze kuzisoma na kunufaika na kuwa mmoja wa wanakamati kwa namna moja ama nyingine.

Mosi, nimebadili JAMBO FORUMS to JAMII FORUMS na naamini unaafikiana nami katika hilo.

Pili, thibitisha mkuu wapi penye hizo SIRI za kamati ya madini ili wadau wakusome kwa karibu zaidi. Heading ya topic yako ni tofauti na hoja ndani yake... Don't see this?

Tatu, unadai iondolewe hoja hii ambayo pia wewe umeiweka public (sio Members only forum) kwa kisa ati 'haijawafurahisha' ambao hujawataja, unaweza kusema ni kina nani hao ambao unadhani haijawafurahisha?

Mwisho, JF haipo kumfurahisha mtu tu, ni kukufurahisha pamoja na kukukasirisha. Ukipigiwa makofi sana, kubali kuzomewa siku moja.

Nasubiri response yako mkuu, hasa ikizingatia haya niliyogusia.
 
Game kama hutaki utoaji wa siri basi Jamii si mahala pako ingekuwa vizuri ukaangalie picha kwenye blog ya michuzi na kucheka. Hii site ni ya wakereketwa ambao wanaona watanzania wenzao wakijua jambo ambalo ni la utata ni kwa manufaa ya nchi yetu Tanzania. Kamati ya dini inasiri gani ambayo Mtanzania wa kawaida hawezi kujua. Hii ni mikataba ya serikali na mapendekezo ya kuimarisha sheria za madini na si mambo ya kijeshi !! hivyo siri hizo ni zipi ambazo zitahatarisha nchi zikijulikana!!!!!!!!
 
GT majuzi tu hapa juzi katuwekea mkataba baina ya nssf na dr Masau bila ya ridhaa ya dr Masau, je wewe bw GT tukuiteje kwa kuingilia uhuru wa mtu na kuanika siri zake?, anyway hiyo haifanyi TWO wrongs to be right, lakini ni lazima unapotoa shutuma, jiangalie na wewe, under some circumstances una act vipi katika situation ambazo zinataka kufanana na zile unazowashutumu wenzio!
 
I don't think that standard applies to him. Kwa mtazamo wake kesi yake ni tofauti.
 
Kamati ya madini ipi tena, maana kamati ya madini ile aliyokuwemo Zitto ilishakabidhi ripoti yake, sasa ni public document. Ni siri ipi tena ipo kwa ile kamati. GT ni wewe kweli umepost hii?????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom