Zitto na mbadala wa Mafuta, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto na mbadala wa Mafuta,

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngisibara, May 16, 2011.

 1. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Nimeiona hii mahali na kuipenda, Naomba tuijadili ingawa mie binafsi nakubaliana na Zitto kwa 100%

  • MAFUTA YA TAA MBIONI KUPANDISHWA BEI
  Zitto alisema yapo mapendekezo ya Serikali ya kutaka bei ya mafuta ya taa iwe sawa na bei za mafuta ya dizeli na petroli. Anapinga bei ya mafuta ya taa kupandishwa bei, na kupendekeza mafuta ya dizeli na petroli yashushwe bei ili yawe sawa na mafuta ya taa, “Bei ya dizeli ni Shilingi 2,000/- wakati bei ya mafuta ya taa ni Shilingi 1,600 na kitu... Kama ni suala la bei, hii ya dizeli ishushwe iwe kama ya mafuta ya taa. Kufanya hivyo watakuwa wamepunguza ugumu wa maisha ya wananchi. Si kila wanapotaka kufanya mabadiliko, wao wawe wanawaza kupandisha tu. Wawaze na kushusha ili wananchi wapate unafuu.”  source: Wavuti - Habari
   
Loading...