Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

chadema ili ishinde 2015 ni lazima ipitie hatua hii mapema George Bush alisema i have to sacrifice the capitalism in order to save it. lazima chama kipitie kwy tanuru la moto tukitokea upande wa pili hakuna anayeweza kusimama mbele na kutusaliti kwani watakuwa wamejifunza kutokana na historia ambalo ni somo zuri sana. ccm is dying in the sea of corruption as a result of its failure to take a stand before evil
 
Jamani nakuombeni basi tuwe wastarabu kidogo. Hakuna kitu kibaya kama kutumia picha ya mtu mwingine kwenye mtandao kama utambulisho wako. Ona mfano wa mungi kaweka picha ya rais kabila kweli si busara. Kobello pia sijui picha ya carl max ile sielewi maana hawezi akawa yeye. Kwanini msitumie picha zenu mnaogopa nini? Kama vip basi acha ibaki no avatar kama tulivyofanya wengine. Ni ushauri tu pls let us change.
 
Mbona hili limewauma sana
magamba?
Au mlimweka nyie na sasa dili imesanda kabla hajamaliza kazi yenu?
 
Habari wadau

Kumbe neno wahain halikuanzia CCM kumbe zitto kabwe na wenzake walio jaribu kukibadilisha chama Cha chadema kua chama Cha ki demokras waliitwa wahain mbele ya watanzania na vyombo vya habari


Leo baada ya kuangalia katika matukio ya kisiasa yalio pita nibebain kua ndiomana vijana wa chadema wanaogopa kusema Ukwel na mapungufu yalio ndan ya chama kuogopa kufanyiwa Kama alivyo fanyiwa zitto na viongoz wengine wa chadema

Pia kupitia zitto nataka niulize swal kwa ndugu zangu je zitto na yeye alinunuliwa?
Au sababu ilikua ni zitto kutaka uenyekit

Namnukuu zitto alisema kua yeye anaipenda chadema na hato Hana chadema na atakua wa mwisho kuondoka chadema na kutoka hawezi labda aondolewe so hii inaonesha wazi kua zito alifukuzwa kwenye chama

Sababu ilio muondosha zitto kwenye chama ni kitendo Cha yeye kuanza kunyemelea uenyekit kitu ambacho kilifanya mh tundulisu mbowe na Dr slaa kumfukuza kwenye kwenye chama na kumvua vyeo vyote

Swal langu kwa makamanda iv Zitto alinunuliwa na Nan na Kwann aliitwa muhain



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha muhimu sisi huku kijijini tunazidi kufatilia zile ml 50 kila kijiji na kutaka kujuwa chama cha mauaji ccm kimejenga viwonder vingapi.
 
Wadau nawasabahi.

Tupo wengi hatuifahamu vizuri historia ya Zitto Kabwe na wenzake wakiwa CHADEMA.

Tumekuja kumjua Bw. Zitto Kabwe akiwa kafukuzwa CHADEMA. Tunaomba japo kwa ufupi historia yake toka kujiunga mpaka sababu za kufukuzwa kwake pamoja na wenzake.
 
Wadau nawasabahi.

Tupo wengi hatuifahamu vizuri historia ya Zitto Kabwe na wenzake wakiwa CHADEMA.

Tumekuja kumjua Bw. Zitto Kabwe akiwa kafukuzwa CHADEMA. Tunaomba japo kwa ufupi historia yake toka kujiunga mpaka sababu za kufukuzwa kwake pamoja na wenzake.
Uenyekiti wa Mbowe,Muulize Chacha Wangwe 😂😂
 
Alitaka kugombea uenyeketi wa Chadema 😂😂😂 hakuamin macho yake 😂😂😂😂😂
 
Wal
Wadau nawasabahi.

Tupo wengi hatuifahamu vizuri historia ya Zitto Kabwe na wenzake wakiwa CHADEMA.

Tumekuja kumjua Bw. Zitto Kabwe akiwa kafukuzwa CHADEMA. Tunaomba japo kwa ufupi historia yake toka kujiunga mpaka sababu za kufukuzwa kwake pamoja na wenzake.
Walikuwa watatu, MM1, MM2, MM3.
MM = Mtu M bad
Walitaka kuonja sumu, ayatollah aboubakar akaunàsa mpango akawawahisha kwenye usaliti.
 
Back
Top Bottom