Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

Hakuna Arusha bila watu wa Kilimanjaro na mikoa haya yanajitegemea ila kwa kua kichwa chako kimejaa u egoism huwezi ukalitambua hili kwa haraka.
Sasa Kwanini fujo zenu musiwe munazipeleka kwenu Kilimanjaro?
 
Chadema siyo chama ni kikundi cha watu wa kaskazini ambao wanatumia mwamvuli wa kisiasa kufanikisha mambo yao.

We jamaa wewe nakuchukia tu kwa sababu wewe ni CCM, CCM iliyotufikisha kwenye maisha hafifu huku tukiwa na maliasili nyingi sana, lakini kuna vitu umesababisha nijiulize mara mbili mbili, kama hiki cha CDM kuwa project ya watu.
 
Hivi chadema mbona mna chuki binafsi.

Kumbe zitto mlikuwa mnamwinda siku nyingi.

Chadema mtachukia watu wangapi?Hivi kwa nini mnamchukia ZITTO kiasi hiki?

Kuna vichaa wengine walisema heti wananchi wamesema zitto asikanyage arusha.

Hivi zitto angewatonya mgeendelea kumchukia kiasi hiki.
Hivi zitto angejikopesha ruzuku kama Dr slaa si mgempiga na tofali kwa chuki mlizonazo.

Hakuna mtanzani atakaye kubali chama cha namna hii kuingia ikulu mtabaki kukopeshana na kupeana tenda za manunuzi.

Kinacho nisikitisha ni wabunge wenye akili tima kama wakina Mnyika,Halima mdee kuwa part ya huu unyanyasaji dhidi ya zitto na kukubali kutumiwa na wakina Dr slaa.

Hii saccos tuta hakikisha ina komea Tengeru na haitokuga hile barabara ya kivukoni.
Kumbe unajua Mnyika na Mdee wanaakili timamu .Sasa uanze kujiuliza kwa nini hao unaowaona wana akili timamu wanampinga ama mitazamo hasi juu ya Zitto.
 
We sisi walewale wakina shirima unamiliki jiko Bar hapo ISAMILO,tunazungumzia WASUKUMA wapiga kura.

mimi ni mkurya/msimbiti natoka koo kubwa ya 'waryubha wambura' mlango wa 'bhairi wibhogha', mama yangu anatoka ktk koo ya 'wambura kighinga' wataalamu na wagemi wa mvua. Nauza viazi soko kuu Mwanza, pia napatikana viunga vya SAUT Nyegezi nyakati za jioni. Karibu sana mkabila.
 
Hivi ccm haina wabunge na madiwani pale uchagani acheni ubaguzi umesikia dadangu Kitoabu
Lakini maamuzi ya CCM hayatoki Uchagani wala kwenye kabila/ Dini yoyote. Tofauti na hii taasisi ya kichaga ambayo mwenye maamuzi ya mwisho ni MTEI. Umesikia Shoga yake mama yangu?
 
Last edited by a moderator:
Kama hana with was kumpigia kura basi MPENI NAFASI AGOMBEE UENYEKITI kama hamtalia name kusaga meno.
Muulizeni DJ atawaambia
 
Back
Top Bottom