miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,694
Tangu lin Uhuru akawa na ushirika na CDM?Waandike mazur ya cdm kwel?Kaa tafakar na uchukue hatua.
Kweli nimeamini zitto ni tishio,na ni jembe la ukweli,maana asingewasghulisha hivi kila kukicha thread zake,mnajua ana madhara ndio sababu povu halikauki!
Zitto ana haki ya kugombea Urais hata nyie humu ndani wenye roho za kwanini mna haki ya Kugombea Urais,waamzi ni wana nchi!
Zitto, unajidanganya na unadanganyika, zile kelele za jana bungeni kukuunga mkono kwa tamko lako la kusema unauwezo wa kuwa Rais wa Tz, zilikuwa ni za wanafiki wa Ccm. Wewe kama unataka kujipima chukua form ya kugombea 2015 ili upambane na Dr Slaa utatambua kuwa wewe una nafasi gani kisiasa. Utatupwa mbali sana, na ubunge utausikia kwa jirani zako. Usipime kina cha maji ya bahari kwa mguu utazama jumla.
Ni tishio kwenu ninyi mnaoamini kwamba kwa kumtumia huyo mtaweza kuisambalatisha cdm. poleni tena poleni sana maana mtakaa sana kusubiri mkono wa bindamu (kama fisi) udondoke muutafune kumbe hayo ndio maumbile yakeKweli nimeamini zitto ni tishio,na ni jembe la ukweli,maana asingewasghulisha hivi kila kukicha thread zake,mnajua ana madhara ndio sababu povu halikauki!
CDM ni chama makini, kinaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni. Sasa unapoona ndani ya chama mtu anaamua kukengeuka kwa makusudi kwa kuacha kufuata utaratibu tuliojiwekea, ujue anajimaliza mwenyewe.Zitto, asibezwe kama anataka Urais wananchi wataamua wenyewe, tusiwasemee.
Zitto ni mpumbavu, cdm wakimpitisha nitampigia kura hata DOVUTWA nijue moja kuwa nimelamba galasa
Zitto, unajidanganya na unadanganyika, zile kelele za jana bungeni kukuunga mkono kwa tamko lako la kusema unauwezo wa kuwa Rais wa Tz, zilikuwa ni za wanafiki wa Ccm. Wewe kama unataka kujipima chukua form ya kugombea 2015 ili upambane na Dr Slaa utatambua kuwa wewe una nafasi gani kisiasa. Utatupwa mbali sana, na ubunge utausikia kwa jirani zako. Usipime kina cha maji ya bahari kwa mguu utazama jumla.
CDM ni chama makini, kinaendeshwa kwa mujibu wa sheria, taratibu na kanuni. Sasa unapoona ndani ya chama mtu anaamua kukengeuka kwa makusudi kwa kuacha kufuata utaratibu tuliojiwekea, ujue anajimaliza mwenyewe.
Hapa naunganisha dots za mwenendo wa Zitto na Kafulila juu ya kutumika na CCM katika kivivuluga vyama vya upinzani nchini.
Kusema mweli leo nimeshangaa kuona heading kubwaaaa kwenye gazeti la UHURU ikisema Zitto azilipua kampuni za simu wakati nikishazoe ZITTO aichachafya CDM au Zitto awashushua viongozi wa CDM ataka usawa. Lakini leo kama vile ni kiongozi wa ccm anapewa front coverage imenifanya nianze kuunganisha vitu na mfululizo wa habari za Zitto na magazeti