Zitto na CCM kunani? iweje gazeti la UHURU leo Heading iwe ya kiongozi wa CHADEMA?

Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna. Zitto anataka kuvuna wakati wa kupanda.

CDM ipo katika harakati za kujijenga, kuelimisha umma, na kutafuta wanachama ili hatimaye kumkomboa Mtanzania.
Yeye zitto, tena bila aibu, akiwa kama naibu katibu mkuu, badala ya kujenga chama, ana harakati za kuutaka Urais 2015.
Amekuwa ndio mtanzania wa kwanza kutangaza nia ya uraisi, tena wakati ambapo nchi ipo katika changamoto nyingi.

Na hii ni mara ya pili, wakati ule kampeni zilipopamba moto Arumeru pia alitangaza nia.
Naanza kuamini kuwa Zitto ni kibaraka wa magamba mwenye nia ya kuiua CDM.
Hakika Zitto sio wa kuaminiwa, ni mtu wa kuwa makini naye!
 
Presha presha presha ya nini jamani na urais! :israel:
Go Zitto, go Zitto
 
MImi naamini Zitto ana akili sn. Sidhani kabisa kama anaweza kufanya mambo ambayo wazi kabisa anajua outcome yake.

Kaka Jimmy, akili nyingi huondoa maarifa.

Tatizo la msingi hapa sio uwezo wa akili bali ni tabia na mwenendo wa Zitto katika context nzima ya atakacho.
 
Kinachonifurahisha zaidi ni JINSI MH.HECHE MH.LEMA NA kifaa kipya kilichosajiriwa toka CCM MILLYA wanavyoshambulia anga huku wakikijenga chama hawa ndiyo vijana tunaowataka wanokubali kutumwa na wakubwa zao wakakubali kwenda kutimiza majukumu, ni mila na desturi kwa watanzania kwa kijana kutumwa na wazee akakubali hata kama hakuridhika lakini yuko tayari kwa sababu moja tu kwamba wazee waheshimiwe.Leo tumepata kijana wa aina yake asiyekubali kutumwa wa wazee anabishana nao na hata kuwadhalilisha mitandaoni na magazetini, ninapata wasiwasi kama kweli huyu ni kijana wa kitanzania, kwani ni mbishi hakubali kutumwa amejitenga huyu na anaona kuwa anao uwezo wa kupambana na wazee waliomlea.JE ni kwli ni mtanzania huyu!!!!!!!!!!!!! sidhani sisi hatupo hivyo
 
Nashindwa kuelewa kwanini watu wanamuhofia sana zitto?
Kila ck kuna uzi mpya unamjadili, nadahani kuna nguvu kubwa imejificha nyuma ya hili.
Mwisho wa ck ukweli utajulikana.
 
Zitto ana haki ya kugombea Urais hata nyie humu ndani wenye roho za kwanini mna haki ya Kugombea Urais,waamzi ni wana nchi!
 
Kweli nimeamini zitto ni tishio,na ni jembe la ukweli,maana asingewasghulisha hivi kila kukicha thread zake,mnajua ana madhara ndio sababu povu halikauki!

Ni jembe kwako na familia yako. Nasikia katika familia yenu watu wanafiki na ndumila kuwili kama alivyo zito mnawaita majembe
 
Hapa naunganisha dots za mwenendo wa Zitto na Kafulila juu ya kutumika na CCM katika kivivuluga vyama vya upinzani nchini.

Kusema mweli leo nimeshangaa kuona heading kubwaaaa kwenye gazeti la UHURU ikisema Zitto azilipua kampuni za simu wakati nikishazoe ZITTO aichachafya CDM au Zitto awashushua viongozi wa CDM ataka usawa. Lakini leo kama vile ni kiongozi wa ccm anapewa front coverage imenifanya nianze kuunganisha vitu na mfululizo wa habari za Zitto na magazeti

Wanajitahidi kuchonganisha Zitto na nyie... Msiingie mkenge.
 
pamoja na hayo yote,mi nadhani sio busara kutangaza bungeni kwamba unataka urais hizo ni papara japo mimi ni mwana cdm lakini katika hili naona zito ameteleza.
 
Mimi nilishamtoaga katika mawazo yangu the so called Zitto, siyo mpinzani wa kweli kwa matamshi yake mwenyewe nilishawahi kumsikia kwamba yeye hataki Siasa anataka kwenda Kufundisha(mbona bado yupo kwenye siasa au hasimamii anacho kisema?) na kipindi kile alidanganywa na CCM kwamba akijitoa CDM yaweza kufa baadaye akagundua yeye hana impact kubwa kama alivyokuwa anafikiria ndiyo maana kwasasa ataendelea kutafuta ajipachike wapi ili aue Chama, ninaamini ipo siku Zitto atataka asimamishwe kama Mgombea Urais alafu ikibakia wiki moja ya uchaguzi atajitoa.
 
Hapa naunganisha dots za mwenendo wa Zitto na Kafulila juu ya kutumika na CCM katika kivivuluga vyama vya upinzani nchini.

Kusema mweli leo nimeshangaa kuona heading kubwaaaa kwenye gazeti la UHURU ikisema Zitto azilipua kampuni za simu wakati nikishazoe ZITTO aichachafya CDM au Zitto awashushua viongozi wa CDM ataka usawa. Lakini leo kama vile ni kiongozi wa ccm anapewa front coverage imenifanya nianze kuunganisha vitu na mfululizo wa habari za Zitto na magazeti

Usishangaye hilo tu shangaa na uhusiano wa Zitto na Jack Zoka wa TISS (usalama wa taifa)

Zitto na Jack Zoka, tuwe macho na uhusiano huu
Uhusiano kati ya Zitto na Jack Zoka ambao uliwekwa wazi na vyombo mbalimbali ni taarifa mbaya kwa wanasiasa na wananchi wanaoipenda taifa lao la Tanzania. Uhusiano huu wa Zitto na Jack Zoka ambaye ni mkurugenzi msaidizi wa TISS (usalama wa taifa) umeripitiwa kuwa na historia ndefu tangu wakati wa uchaguzi mkuu. Wakati Zitto anajitapa kuwa anatetea maslahi ya wananchi, mshirika wake wa chanda na pete Jack Zoka anatuhumiwa na wanasiasa na wanachi kufanya kazi ya kuwadhuru badala ya kulilinda taifa. Kama mshirika wa Zitto anadhuru wananchi ni wazi kuwa naye Zitto ana masalahi binafsi na mabaya kwa wananchi. Maana ukitaka kujua tabia ya mtu, uliza tabia ya rafiki yake. Ni jambo la kusikitisha Zitto kuwa na uhusiano na huyu mfanyakazi wa usalama wa taifa anayedhuru watu na wakati huohuo anajidai kuwa ni mpambanaji. Uhusiano wa Zitto na Jack Zoka ulishawekwa wazi kuwa walikuwa wanawasiliana kwa simu mara kwa mara wakati wa kipindi cha uchaguzi. Tuwe macho na urafiki wao na ambao si mwema hata kidogo kwa wanasiana na wananchi wenye uchungu na taifa letu.
 
warid kabouru walimfanya nini ccm kabwe hawa ccm never trust them wanaweza hata kukupa binti wa kikwete kukuharibia
umenena mkuu. Naona kijana anapima maji kwa macho. Namshauri atulie ccm watamlamba miguu kisha watampaka mavi usoni na kumpotezea. Nakuongeaongea siyo issue
 
Usishangae ukiona anaunga mkono hoja za CCM na CCM lazima tuwe makini maana mkakati wake apoteze umaarufu wa vyama vya siasa vyote nchini abaki yaya kama mshindi.TUWENI MAKINI NA WANASIASA KAMA HAWA
 
ccm wana mbinu chafu wanamuogopa huyu kijana lazima waje na njia za kuwachanganya wananchi na chadema lakini zito ni bora sana kuliko mr dhaifu
 
Mbona hueleweki? Ukwe na kubaki mshindi unakujaje? Una point lakini unashindwa kuiweka vema, mafano zito anaweza kuwa haungi hoja za akina lissu, at the end of the day, akina lissu wakashindwa , na yeye akabaki peke mwenye hoja nzito in absence of akina lissu ni hilo?
 
Back
Top Bottom