Zitto Kabwe anawatafuta Barrick kwa udi na uvumba kiubaya .Hajaanza leo yeye na Tundu LisuHii nchi ina mambooo,
Mkataba wa bagamoyo tuliambiwa tumepigwaa
Sasa huu wa madini nao ZZK anasema tumepigwa
si kwamba wametuzd maarifa kwe mikataba, ni tamaa tu za baadhi ya watu kutaka kujinufaisha na ndo hapo wageni wanapata mianya ya kuweka demands zao za ajabu ajabukama wazungu wametuzidi maarifa Kwenye mkataba kwa mara nyingine tuanze upya mechi
Una hojaNiliwai sema ufisadi Tanzania ni nadharia zinazotengenezwa na wanasiasa kwa maslahi ya kisiasa! Hakuna jipya
Sasa tumuweke nani? Wapinzani wenyewe ndio hao ubaowaonaTuungane pamoja kuiondoa ccm madarakani bila hivynchi hii itaendelea kudhulumiwa milele.
Naona hapa ulitakiwa na wewe uanzishe thread yako kucover hoja zako sio kuraise personal attacks kwa Zitto kuna mambo muhimu yanahitaji majibu katika uzi huu wa Zitto wanasiasa wana issues mbali mbali lakini lazima tuyapime wanayoyaleta kwetu kwa makando kando yao anzisha thread yako na wewe , wengi wanakuwa na reliable sources za technocrats wenye uchungu na nchi lakini hawana platforms au wanaogopa kurisk maisha yao na kazi zao.Zitto Kabwe anawatafuta Barrick kwa udi na uvumba kiubaya .Hajaanza leo yeye na Tundu Lisu
Walikuwa wakihongwa hela sana na ACACIA management company iliyokuwa ikituibia watanzania na ikiwaibia Barrick.Ndio maana serikali ikasema mazungumzo tutafanya wawili tunaoibiwa na ACACIA yaani Barrick na Serikali ya Tanzania .Vibaka Hawa wawili Zitto Kabwe na yule Kibaka aliyeko ubelgiji Tundu Lisu waliokuwa wakiiba kwa kuhongwa na ACACIA wakatutishia kuwa ohh tutapelekwa MIGA!!! Serikali ikakomaa .Zitto hela nyingi alizipatia ACACIA ana hasira za kukosa ulaji Hadi leo.Alikuwa akibweka tu ACACIA wanamwaga pesa kwao .Barrick Ni kidume hatisiki na hababaishwi na wabwekakaji wawinda Rushwa Kama Zitto Kabwe
Pili kuhusu serikali kunyanganya leseni za vitalu yeye mwenyewe Zitto Kabwe Ni mhanga .Alinunua vitalu vya kuchimba gesi mikoa ya kusini akapewa kwa uzoefu gani wa kuchimba gesi alionao Hadi akapewa amiliki? Maana kwenye andiko lake anasema kampuni eti wamepewa hawana uzoefu yeye anao? Vitalu vya gesi mtwara alipewa akiwa na uzoefu upi kwenye mambo ya gesi? Kipindi kile Cha ufisadi?
Pili anasema kunyanganywa leseni Ni uporaji.Sasa wewe umechukua kitalu Cha gesi uzoefu wa kuchimba huna na mtaji huna unakaa na leseni unakaa na leseni ya kitalu Cha gesi Kama dalali unavizia siku atokee mtu umuuzie umpige.Serikali inatwaa mashamba yasoyoendelezwa sembuse leseni za vitalu vya gesi na madini ambavyo wenyewe wamekaa tu miaka hawaendelezi? Kama shamba la watu Kama akina Sumaye yanachukuliwa na serikali kwa kutoendelezwa sembuse kitalu Cha gesi anachomiliki Zitto Kabwe asichokiendeleza?
Kingine kasema hisa zisajiliwe soko la hisa la Tanzania . Hili soko dhaifu la Tanzania ? Ushauri wangu kama watanzania tunataka kumiliki utajiri wa kimataifa kampuni kubwa za kimataifa turuhusiwe kununua na kuuza hisa masoko ya kimataifa .Bunge lipiganie Hilo badala ya hutu tusheria local twa ohh lazima uuze hisa ndani haya Vodacom kampuni ya kimataifa wameuza hisa ndani Nini Cha maana wanahisa wamefaidi? Umaskini mtupu
Lakini tungenunua hisa za kampuni mama Kimataifa kule Kuna wanahisa dunia nzima biashara kule ipo ya hisa ya kutosha
Sasa unamshambulia Zitto binafsi badala ya hoja yake.Kuna shida gani kama Barrick anamiliki iyo Kampuni?
Zitto ni mfutini na mtu aliyejaa chuki tu anayetumika kwa maslahi binafsi!
Nilikuwa natofautiana na Magufuli kwenye maeneo mengi hasa Nepotism na Ukiukwaji wa haki za Binadamu ila kwenye suala la Madini namuunga mkono Magufuli!
Zitto ni muhuni anayetumika na watu wahuni kwa maslahi yao!
Anasema mikataba isifanywe na GNT wakati GNT ni timu yenye wataalam wa mambo yote kuhusu mikataba ikiwemo Sheria, uchumi, kodi n.k
Anasema tume wa Madini ndo wasimamie mikataba hao tume ya madini wana uwelewa juu ya masuala ya Sheria? Mikataba? Kodi na Uchumi?
Kwa kifupi kwenye hili simuungi mkono zitto! Ndo aliyemshauri Magufuli kufukuza kampuni za kununua korosho LINDI na Mtwara alafu baadae akaja kumlalamikia kuwa serikali imeingilia kati soko la korosho Lindi na Mtwara!
Zitto ni muhuni tu!
Zitto ana point kwenye hili.lakini Serikali ikawapa mradi uliotafitiwa kwa dola za kimarekani milioni 250, kwa maana hiyo tumewafanyia utafiti bure.
Zitto Kabwe ni Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo.
Acha upotoshaji , zitto kabwe anapatia wapi hela za kumiliki vitalu vya Gesi??Zitto Kabwe anawatafuta Barrick kwa udi na uvumba kiubaya .Hajaanza leo yeye na Tundu Lisu
Walikuwa wakihongwa hela sana na ACACIA management company iliyokuwa ikituibia watanzania na ikiwaibia Barrick.Ndio maana serikali ikasema mazungumzo tutafanya wawili tunaoibiwa na ACACIA yaani Barrick na Serikali ya Tanzania .Vibaka Hawa wawili Zitto Kabwe na yule Kibaka aliyeko ubelgiji Tundu Lisu waliokuwa wakiiba kwa kuhongwa na ACACIA wakatutishia kuwa ohh tutapelekwa MIGA!!! Serikali ikakomaa .Zitto hela nyingi alizipatia ACACIA ana hasira za kukosa ulaji Hadi leo.Alikuwa akibweka tu ACACIA wanamwaga pesa kwao .Barrick Ni kidume hatisiki na hababaishwi na wabwekakaji wawinda Rushwa Kama Zitto Kabwe
Pili kuhusu serikali kunyanganya leseni za vitalu yeye mwenyewe Zitto Kabwe Ni mhanga .Alinunua vitalu vya kuchimba gesi mikoa ya kusini akapewa kwa uzoefu gani wa kuchimba gesi alionao Hadi akapewa amiliki? Maana kwenye andiko lake anasema kampuni eti wamepewa hawana uzoefu yeye anao? Vitalu vya gesi mtwara alipewa akiwa na uzoefu upi kwenye mambo ya gesi? Kipindi kile Cha ufisadi?
Pili anasema kunyanganywa leseni Ni uporaji.Sasa wewe umechukua kitalu Cha gesi uzoefu wa kuchimba huna na mtaji huna unakaa na leseni unakaa na leseni ya kitalu Cha gesi Kama dalali unavizia siku atokee mtu umuuzie umpige.Serikali inatwaa mashamba yasoyoendelezwa sembuse leseni za vitalu vya gesi na madini ambavyo wenyewe wamekaa tu miaka hawaendelezi? Kama shamba la watu Kama akina Sumaye yanachukuliwa na serikali kwa kutoendelezwa sembuse kitalu Cha gesi anachomiliki Zitto Kabwe asichokiendeleza?
Kingine kasema hisa zisajiliwe soko la hisa la Tanzania . Hili soko dhaifu la Tanzania ? Ushauri wangu kama watanzania tunataka kumiliki utajiri wa kimataifa kampuni kubwa za kimataifa turuhusiwe kununua na kuuza hisa masoko ya kimataifa .Bunge lipiganie Hilo badala ya hutu tusheria local twa ohh lazima uuze hisa ndani haya Vodacom kampuni ya kimataifa wameuza hisa ndani Nini Cha maana wanahisa wamefaidi? Umaskini mtupu
Lakini tungenunua hisa za kampuni mama Kimataifa kule Kuna wanahisa dunia nzima biashara kule ipo ya hisa ya kutosha
Mchezo ulikwisha tulipokubali kishika uchumba.
Msitegemee kwamba nitaikosoa serikali ya Samia - Zitto Kabwe
Sasa hao ma director wake au shareholders wake hawana ujuzi ktk sekta ya madini. Profile zao zipoje ktk kuwania hiyo leseni ya kuchimba nickelAugust unaleta siasa.
A company is an individual entity, Nikimiliki kampuni mbili X, na Y kila moja inajitegemea japo zote zangu
Ni mchezo uleule tu wa Barrick kuwa na share kwenye ACACIA lakini this time it seems wanaiown hiyo kampuni 100%
Zito Kabwe la yuko kimya kwenye maswala muhimu ya kitaifa kwa sababu yupo pale kimaslahi. Huyu ndiye mvujisha siri zote za Serikali wakati wa JPM kupitia Rais SSH. Joka la kibisa. Ipo siku inawangojea tupo wazima tunawaangalia.