CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,238
Zitto Kabwe hakuomba kujiuzulu uongozi ndani ya chama kwakuwa ametenda kosa lolote bali kwakuwa viongozi wenzake walikuwa hawa imani nae.
Maelezo haya ameyatoa mwanasheria wa Zitto ndugu Alberto Msando.
Mpaka sasa Zitto Zuberi Kabwe ni innocent pamoja na udikteta uliotumika kumvua uongozi. Chadema inabidi mtafute mambo mengine ya kuwaambia watanzania kuhusu Zitto. Huyu ni kiongozi bora na mpiganaji wa kweli.
Maelezo haya ameyatoa mwanasheria wa Zitto ndugu Alberto Msando.
Mpaka sasa Zitto Zuberi Kabwe ni innocent pamoja na udikteta uliotumika kumvua uongozi. Chadema inabidi mtafute mambo mengine ya kuwaambia watanzania kuhusu Zitto. Huyu ni kiongozi bora na mpiganaji wa kweli.
Nitajibu kwa ujumla kwa sababu majibu ya masuali yako ndio msingi wa utetezi uliowasilishwa. Kuandika ingredients za utetezi au kwa maana nyingine maelezo ya utetezi sio sawa. Hayo yote yatatolewa muda ukifika.
Zitto aliomba kujiuzulu sio kwa kukiri makosa ila kwa sababu viongozi wenzake walisema hawamuamini. Msimamo wake ulikuwa hana sababu ya kuendelea na uongozi kama hakuna trust.
Suala hilo lingeishia hapo kama ushauri uliotolewa ndani ya kikao ungefuatwa kwamba aruhusiwe kujiuzulu. Chama bado kingeweza kumchukulia hatua zaidi hata kama angejiuzulu mwenyewe na hiyo wangetumia kama sababu. Lakini badala yake ilionekana kwamba kujiuzulu ni sifa hivyo afukuzwe!! Kosa likawa hapo. Kufukuzwa/kuvuliwa uongozi ni adhabu. Utoaji adhabu za kinidhamu lazima ufuate utaratibu kaka.
Baada ya hayo yote alitafuta ushauri wa kisheria kutokana na mazingira ya suala lake. Hakuwa na nafasi ya kutafuta ushauri ndani ya kikao kwa sababu nafasi hiyo hakupewa. Na hapo unaona kwa nini ni muhimu kumpa mtu mashtaka yake kabla ili kabla hajajitetea aweze kutafuta ushauri wa kisheria. That's basic.
Suala lake liliibuka ndani ya kikao kama dharura. Na ndivyo ilivyotokea.