Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,461
- 1,447
Universal Leaf Tobacco(TLTC na TTPL)....wale wa kule town karibu na Iringa Road.Which company? He meant Alliance One Tobacco Tanzania oooh, hold on..!! Kama ni hao kheri wafunge tu..!!
Universal Leaf Tobacco(TLTC na TTPL)....wale wa kule town karibu na Iringa Road.Which company? He meant Alliance One Tobacco Tanzania oooh, hold on..!! Kama ni hao kheri wafunge tu..!!
Personally tumbaku imenifanya kitu mbaya sana,chunya 2017, najua kuna watu hawataweza kumuelewa Zitto labda hadi waguswe moja kwa moja
Wacha waondoke tutavuta tumbaku wenyewe....tutagawa kira nyumba kiro mbiri mbiri za tumbaku
Si uandike wewe hizo biashara Mpya...shida ni nini Kifutu?
Andika wewe muimba mapambio sio kila mtu asifie.Aandike na biashara mpya zilizoanzishwa ambazo pia zimeajili maelfu ya Watanzania
N ujinga kuandika negative issues bila kuweka positive issues as well
Kweli mkuu hawa kichwani hamna kitu yaani wao ni kusifia hata upuuziMnahangaika na huyo alikua anatafuta sehemu pa kutoa hajakubwa saivi keshasaini 7000 yake anakula vyombo tu.
Wewe na nani?huyu kijana sijawahigi kumwelewa kwanini anapenda kuwatetea mabepari
hao wamefunga biashara kwasababu zao binafisi lakini siyo mazingira magumu TZ
Hao walizoea vya bure kukwepa kodi na kutolipa ushuru waende tu sisi wenyewe tumewachoka
Mkuu nashukuru kwa kuelewa...tax return linazungumzika kama kuna kiasi kidogo cha ku return...Tuna shukuru kwa maelezo yako, ingawa umeshindwa kuelezea kuhusu hizo kodi kibao na hayo mazingira magumu yabiashara? lakini umeweza kuelezea vizuri kuhusu huo mgogoro wa Tax Returns/claims .
Sasa hili la tax claims/Tax Returns lina zungumzika labda kama claims zao ni za kizushi au zina dalili ya ransfer pricing.
Mimi ninaona hilo la tax return ni factual , hivyokusema kuna "maelekezo" ni speculative na sio factual. kwa sababu kama kuna ukweli wanaweza kulifikisha mahakamani.Mkuu nashukuru kwa kuelewa...tax return linazungumzika kama kuna kiasi kidogo cha ku return...
Umezungumzia, kuwa sijafafanua ....ila jua kuwa kila kifungashio cha tumbaku kinacho ingia na kutoka nchi hii kinalipiwa kabla na kikisha ondoka ile kodi inapashwa kurudisha kwa mwekezaji....ila mfumo kwa ukaguzi wa haya yote katika mamlaka zetu unaudhaifu na ukiwa na maelekezo ya kuhakikisha kuwa hakuna kinacho rudi kwa mwekezaji (hayazungumziki).
Mazingira magumu/mabaya ya uwekezaji ni pamoja na kodi zinazo ongezwa kila kukicha kwa kila kilo ya tumbaku inayo nunuliwa kwa mkulima..mind you...mkulima asipo uza msimu huu hiyo tumabaku hiyo haiuziki tena mwakani maana ishashuka thamani....
Pili mkulima hana means za kutunza/hifadhi tumbaku baada ya msimu wa manunuzi kuisha ili itunze ubora wake mpaka msimu ujao...
hio kampuni sio ile inaitwa Phillip morris international wauzaji wa sigara, walikuwepo masaki, ila wamefunga biashara na kuondoka mwaka jana. au sio hao.
Mbona hamkufanya tangu mwanzo ...Mafisadi na wakwepa kodi acha waondoke watakuja wengine au titafanyabiashara wenyewe!!
Ni TLTC sio Alliance OneWhich company? He meant Alliance One Tobacco Tanzania oooh, hold on..!! Kama ni hao kheri wafunge tu..!!
ZZK ni muongo na mnafiki kabisa. Hiyo kampuni iliasha anza kuondoka tangu serikali awamu ya 4. Sababu kubwa ni kuzidiwa ushindaniZiito Kabwe:
Baada ya Korosho iliyoleta nchini Fedha za Kigeni $512m Mwaka 2017, zao la pili ni Tumbaku iliyoingiza $280m. Serikali ya CCM ya Awamu ya 5 imeua Korosho Mwaka 2018 na sasa sera zake fyongo zinaua Tumbaku Mwaka 2019.Mwaka 2017 iliua Mbaazi $200m. Wahujumu Uchumi hawa watatumaliza.
Zitto Kabwe:
Moja ya Kampuni yenye kusindika Tumbaku Morogoro imefungasha virago kuondoka Tanzania sababu ya mazingira magumu ya Biashara. Watanzania takribani 3,000 wamepoteza ajira na maelfu kupoteza ajira kwenye mnyororo wa thamani. Wakulima kuathirika zaidi kwa kukosa soko na bei kushuka
Zitto Kabwe:
It is history. Business are closing down and people lose their jobs. This month , a tobacco processing plant has closed down and moved out of Tanzania due to poor business environment putting in danger 500,000 farmers from Tabora, Shinyanga, Kigoma, Mbeya and Ruvuma regions.
Chanzo:Ukurasa wake wa twitter.
Ni TLTC sio Alliance One
Wewe si uorodheshe hizo biashara mpya zilizoanzishwa.Aandike na biashara mpya zilizoanzishwa ambazo pia zimeajili maelfu ya Watanzania
N ujinga kuandika negative issues bila kuweka positive issues as well