Zitto: Miradi ya SGR,Stigler na ndege kuipaisha nchi

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Mdogo wangu Zitto Kabwe kaonesha njia kwa upinzani kwani kupinga mambo yanayoonekana kwa wananchi ni sawa na kuwa kichaa.
Screenshot_20190605-100545.jpeg
 
Tatizo lenu wanaccm hamjui kutofautisha kati ya kupinga na kushauri. Mtu yeyote mwenye mawazo tofauti na yenu hata kama atawashauri namna bora ya kutekeleza hiyo miradi mtasema kuwa anawapinga.
 
Zitto ameamua kusifia ili wazidi kujikoroga na hiyo miradi mikubwa.
 
Tatizo lenu wanaccm hamjui kutofautisha kati ya kupinga na kushauri. Mtu yeyote mwenye mawazo tofauti na yenu hata kama atawashauri namna bora ya kutekeleza hiyo miradi mtasema kuwa anawapinga.
Tunakataa matusi, kejeri, dharau, kubagaza, mipasho, uongo,uzandiki,unafiki, nongwa, jeuri, ukaidi, kibri, vurugu,maandamo bila kibali,uzwazwa,upopoma,utekaji, ubakaji, uuaji, ushoga, ubinafsi, uchoyo, kujikweza, kutweza, rushwa, kukwepa kulipa kodi, ulanguzi, uhujumu uchumi, migomo....!!
 
Back
Top Bottom