Zitto Mbona Hukuzikwa na Mama Yako Kama Ulimpenda

Ni kwa sababu wengi tuliokerwa na kauli ile tunapenda na yeye aje atujibu humu.

#Zittokabwe

Swali rahisi kwa kauli yako Zitto Zuberi Kabwe, uliyoitoa kule Club House .

Je! wewe hukuzikwa na mama yako sababu ulikuwa humpendi na ulifurahia pale alipofariki?

Au hukuzikwa naye kwa sababu wewe sio Muha kama unavyotuaminisha?

Maana roho na matendo yako ni ya Kihutu zaidi ya Kiha.

Je!
Kama hiyo ndio kauli toka kwa mtu ambae umekuwa ukigombea uongozi na kuaminiwa kwa nyakati tofauti.

Ni wazi sasa tuelewe kariba yako ilivyo na roho mbaya iliyojawa na visasi!

Zitto acha umamluki wa kisiasa.

Zitto acha ubinafsi na udini.

Tunajua baba mkwe wako na genge la CAG Assad liliumia ghafla.

Usitake tukumbuke ya Marehemu Amina Chifupa na Mume wake Mohamed Mpakanjia.

Wala usitake tukumbuke ya Deo Filikunjombe.

Zitto huna usafi wowote katika jamii ya watu wasafi na wanasiasa wa nchi hii.

Kama uongo njoo hapa wewe mwenyewe unijibu

Mengi yako yanajulikana.........

commonmwananchi
10101.
View attachment 2197511
Zitto mtoto wa MALAYA na hana malezi asiwaumbue achaneni nae. Udini umemkaa mpaka kwenye kucha.
 
Kaka hii unakosea sana ,japo kweli zito si mtu mwema,ila usifanye hivi sisi ambao hatujapata bahati ya kuwa na mama wachamungu kama ww pia hatukupanga mama zetu wawe hivi na usikute mama yako (naemuheshimu) angepitia ya mama zetu usikute leo mm ningemtukana hivyo mama yako.
 
Usikute alimtoa kafara mama yake...kwa kariba yake na uzoefu wake wa uongozi ukizingatia kashafiwa na mtu muhimu hakupaswa kutoa kauli kama ile.
 
Naombeni ruhusa jamani kanizikeni pembeni ya kaburi la mwendazake make nilikuwa nampenda sana.
Watu kama zito kabwela ni wa kuwapiga msasa wa uso atakuwa sawa tu maana anatengeneza chama cha kutukana na kutokuheshimu viongozi wa nchi
 
Achana na Zitto Kabwe wewe. Sisi tunaongeza sauti "KAMA UNAMPENDA MAGUFULI NENDA KAZIKWE NAYE", period. Masuala ya kwamba Zitto hakuzikwa na Mama yake ni OUT OF TOPIC hapa.

Tunaongelea Magufuli na maovu yake basi, maana nyinyi mumekuwa misukule mumesau uhayawani wa DIKTETA wa Chato. Yule alikuwa shetani ma bila Mungu kuingilia kati pale 17/03/21 Nchi yetu ingekuwa kama Somalia au Zimbabwe
Akili yako ni ya kidikiteta kuliko udikiteta unachuki hadi umekuwa tahira
 
Ni kwa sababu wengi tuliokerwa na kauli ile tunapenda na yeye aje atujibu humu.

#Zittokabwe

Swali rahisi kwa kauli yako Zitto Zuberi Kabwe, uliyoitoa kule Club House .

Je! wewe hukuzikwa na mama yako sababu ulikuwa humpendi na ulifurahia pale alipofariki?

Au hukuzikwa naye kwa sababu wewe sio Muha kama unavyotuaminisha?

Maana roho na matendo yako ni ya Kihutu zaidi ya Kiha.

Je!
Kama hiyo ndio kauli toka kwa mtu ambae umekuwa ukigombea uongozi na kuaminiwa kwa nyakati tofauti.

Ni wazi sasa tuelewe kariba yako ilivyo na roho mbaya iliyojawa na visasi!

Zitto acha umamluki wa kisiasa.

Zitto acha ubinafsi na udini.

Tunajua baba mkwe wako na genge la CAG Assad liliumia ghafla.

Usitake tukumbuke ya Marehemu Amina Chifupa na Mume wake Mohamed Mpakanjia.

Wala usitake tukumbuke ya Deo Filikunjombe.

Zitto huna usafi wowote katika jamii ya watu wasafi na wanasiasa wa nchi hii.

Kama uongo njoo hapa wewe mwenyewe unijibu

Mengi yako yanajulikana.........

commonmwananchi
10101.
View attachment 2197511
Hajasema mama yake kauwawa nafikiri umeelewa
 
Huyo mnduku amfate mama ake kaburini kama anampenda sana! Manio..kor!
 
Achana na Zitto Kabwe wewe. Sisi tunaongeza sauti "KAMA UNAMPENDA MAGUFULI NENDA KAZIKWE NAYE", period. Masuala ya kwamba Zitto hakuzikwa na Mama yake ni OUT OF TOPIC hapa.

Tunaongelea Magufuli na maovu yake basi, maana nyinyi mumekuwa misukule mumesau uhayawani wa DIKTETA wa Chato. Yule alikuwa shetani ma bila Mungu kuingilia kati pale 17/03/21 Nchi yetu ingekuwa kama Somalia au Zimbabwe
Na asiye na kosa awe wa kwanza kuongea hapa. Unaweza ukajitafakari mwenyewe kwa nafasi uliyo nayo umeshawakosea wangapi? Je kama ungepewa nafasi kama ya Hayati Magufuli ungewakosea wangapi? Je wewe katika nafasi uliyonayo mfano kwenye familia yenu tu; Ni malaika mwema au ni Shetani?
 
Jamani matusi tunayowatukana watu wa pande zote hayatusidii kitu bali yanatutambulisha fikra zetu zilivyo. Tujenge hoja ambazo mtu akizisoma zinamsaidia. Mfano mtu akisema jambo la uongo ukimjibu kwa hoja iliyo sahihi utamfunga mdomo tu.
 
Na asiye na kosa awe wa kwanza kuongea hapa. Unaweza ukajitafakari mwenyewe kwa nafasi uliyo nayo umeshawakosea wangapi? Je kama ungepewa nafasi kama ya Hayati Magufuli ungewakosea wangapi? Je wewe katika nafasi uliyonayo mfano kwenye familia yenu tu; Ni malaika mwema au ni Shetani?
Siyo kwa makosa hayo ya Magufuli aliyofanya kwa Watanzania. Mbona akina Mkapa na Mwinyi na JK hatuwaandiki namna hii.

Sasa kama aliamuru watu wapigwe risasi, wauawe na kuwekwa kwenye sandarusi, kufilisi watu, kufukuza watu kazi, kufunga watu midomo n.k kwanini watu wasifunguke baada ya yeye kutwaliwa kule kuzimu? Mfalme Herode na Filauni hadi leo wanatajwa kwa ukatili wao ingawa walishakufa maelfu ya miaka sembuse huyu aliyekufa juzi? Kwanini Mkapa, Nyarere ambao walitangulia kabla yake hawatajwi kama yeye? Ukifanya mabaya utayavuna hata kama umekufa ndiyo utaratibu wa dunia, kama wewe ulifaidi kipindi cha mwenda zake una kazi ngumu sana ya kumtetea mbele za watu walioumizwa nae.

Unadhani familia na wazazi wa Ben Saanane ambao hata maiti ya ndugu yao hawakuiona kwa ufedhuli wa huyu nduli wanajisikiaje wakilisikia jina la huyo mfalme wa chato? Familia ya Azori Gwanda nao unadhani watamfurahia? Ndundu Lissu aliyepigwa risasi kwenye nyumba za serikali zenye kila aina ya ulinzi camera zikachomolewa, walinzi wakapelekwa likizo bado wakamnyima haki za kutibiwa wakaona haitoshi wakamfukuza na ubunge n.k.

Hivi ingekuwa nawewe umepitiwa na risasi kwenye korodani kwa amri ya huyu mtukufu wa chato ungekuja na utetezi hapa wa kumtetea? Sasa kama kimekuuma nenda kachimbe kaburi karibu yake jifukie!
 
Back
Top Bottom