Zitto mbabe wa Bungeni, hakususia hotuba ya Rais

We kilaza.. Waberoya, zito ni msaliti ana asili ya usafiri na zito ni msaliti tangia alipokuwa chuo zito hana tofauti na mwanamke ma....
Kwanza afadhali zito alitimuliwa cdm, kama.ni fadhila chama kimempa sama chama kimemlea chama cha cdm ndy kimemfanya mpaka akajulikana na kupata u maarufu hii kumpa nafasi za kupata hela ndani ya chama, chama pia kilimpa nyazifa ta juu the late mama yake zito pia....tatizo la zito ni us ali ti, unafiki, mpenda hela tu hana lolote
Zito tangia anunuliwe na maficcm amekuwa babu tu kwa ccm zito ni sawa na kumuita yeyw na chama chake ccm-b

kwa uandishi huu, unategemea unaweza kuandika hoja kweli?

huwezi ku thibitisha wewe na familia yako, yaani mkeo, baba yako, mama yako, watoto wako.....ebu kama unataka kuikoa jamii yako ikuone walau una akili...fumba macho na sema kimoja tu cha kuthibitisha maelezo yako

i bet, utaishia kusema tu ni msaliti huyo, msaliti huyo....

ushalishwa sumu na kuaminishwa, pole
 
To be objective Zitto hakuwa na sababu ya kutoka bungeni na ukawa hawana sababu ya kumbeza Zitto na Zitto hana sababu ya kuwabeza ukawa.

Tunakubaliana kwamba wote (ukawa na zzk) wanapinga urais wa Dr. Shein kutokana na kubatilishwa kwa uchaguzi huko Zanzibar wote wanapinga ila stail za kupinga ndio zinatofautiana ndio maana Zzk alikuwa na mgomo unaojitegemea kwani hakusimama, hakushangilia wala hakuzomea Kinyume na ccm waliokuwa wanashangilia na chadema waliokuwa wanazomea.

Hatuwezi kufanana mawazo, mtazamo, msimamo na mbinu za kupambana. Hivyo ni muhimu kuheshimu maamuzi ya kila mmoja tukitaka kufanya siasa zenye tija katika uwanja huu wa kidemokrasia vinginevyo tutakuwa tunasambaza UJINGA wa kiwango cha lami.
 
UKAWA hawana aibu
Zitto wamemtenga halafu wanataka awaunge mkono
wakati Zitto mwenyewe ana 'mahesabu' yake ya kisiasa...

Yaani UKAWA wanaomlalamikia Zitto ni 'upeo mdogo hadi aibu'
 
UKAWA hawana aibu
Zitto wamemtenga halafu wanataka awaunge mkono
wakati Zitto mwenyewe ana 'mahesabu' yake ya kisiasa...

Yaani UKAWA wanaomlalamikia Zitto ni 'upeo mdogo hadi aibu'

Linapokuja swala la zitto hakuna UKAWA hata mmoja anayetumia akili!!
Wote hujadili mihemuko tu!!

Wengine walikua radhi Lowasa ashindwe ila sio zitto aende bungeni.

Bahati mbaya mabaya yote wamtakiayo huyavuka.
Watazidi kuaibika daily
 
Zitto kishasema haungi Mkono Urais wa Dr. Shein na kweli hakuonesha ishara yoyote ya kutambua Urais wa Dr. Shein Tatizo linakuja pale watu wa Ukawa wanataka Zitto aoneshe na a behave ki Ukawa ukawa, ni sawa na Demu kasema na kutangaza hakutaki lakin kila siku anakufatilia umevaa nini, umeongea na nani, una kula mzigo gani n.k? Mlimkataa Zitto kiujumla wake na pia mnapaswa kujua kuwa Siasa hazina Kanuni Maalum. Kama Sumaye na Lowassa leo tunawaita Makamanda basi hakuna ajabu kwenye Siasa za Tanzania hata Nape au JK wakiomba kujiunga Ukawa mbowe atawakubali cha msingi walete fungu tu!!
 
UKAWA hawana aibu
Zitto wamemtenga halafu wanataka awaunge mkono
wakati Zitto mwenyewe ana 'mahesabu' yake ya kisiasa...

Yaani UKAWA wanaomlalamikia Zitto ni 'upeo mdogo hadi aibu'

Mbowe kahuzunika Zaidi Zitto kurudi Bungeni kuliko Lowassa kukosa Urais
 
Linapokuja swala la zitto hakuna UKAWA hata mmoja anayetumia akili!!
Wote hujadili mihemuko tu!!

Wengine walikua radhi Lowasa ashindwe ila sio zitto aende bungeni.

Bahati mbaya mabaya yote wamtakiayo huyavuka.
Watazidi kuaibika daily

Wao kugawa viti maalum kwa mahawara hawaoni kuwa ni usaliti kwa watanzania
kukimbilia ku saini posho bunfeni hawaoni kuwa ni usaliti
wao usaliti ni Zitto tu
 
Niliwapigia kura UKAWA lakini nina haki ya kuwakosoa
kuwaunga mkono wakifanya yaliyo sahihi hakuniondoi haki ya kuwaponda wakichemsha

leo umekuwa ACT tena karibu halafu mgombee maana naona kuna watu hutu ni wajuzi wa kukosoa ila ukiwapa wasimamie hata wanyama watashindwa
 
Kila siku ni zitto zitto zitto. Sijui huyu jamaa ananyota ya aina gani...:-!:-!:-!
 
leo umekuwa ACT tena karibu halafu mgombee maana naona kuna watu hutu ni wajuzi wa kukosoa ila ukiwapa wasimamie hata wanyama watashindwa

Inawezekana nishajichunguza nikaona sifai kuongoza watu
Zitto now hayuko CHADEMA ....ana uhuru wa kufanya analoona sahihi mradi chama chake kimeridhia
CHADEMA kumlilia Zitto...ni ukosefu wa upeo
 
mKUU UNAUWEZO MKUBWA. KIWANGO CHAKO CHA KUJITAMBUA KIKO JUU KIASI AMBACHO WALIOCHINI YAKO WATAKUELEWA KWA TABU SANA.

MIMI ZITTO KABWE NI MTU NINAYEMCHUKULIA KAMA POLITICAL OPPORTUNIST, NA KIMSINGI NA MUAMINI KWA KIWANGO CHA CHINI SANA. lAKINI NI UNAFIKI WA HALI YA JUU ZITTO KUTOKA BILA KUJUA KWA NINI ATOKE, YEYE SIO UKAWA, ANAUTARATIBU WAKE, NA AMEANDAA MFUMO WAKE WA KUPINGA AU KUONYESHA UPINZANI.

KWA MTAZAMO WANGU UKAWA WAKO SAHIHI NA ZITO YUKO SAHIHI ASILIMIA MIA, ILA KUITANA NYUMBU, WATOTO, WASALITI AU VIBARAKA NI MAZAO YA KIWANGO CHA KUJITABUA WALICHOKUWA NACHO WANASIASA WANAOAMINI HIVYO.
 
Inawezekana nishajichunguza nikaona sifai kuongoza watu
Zitto now hayuko CHADEMA ....ana uhuru wa kufanya analoona sahihi mradi chama chake kimeridhia
CHADEMA kumlilia Zitto...ni ukosefu wa upeo
Hesabu za Zitto wengi hawazijui, kwanza Kikwete alikuwa bungeni (Ambaye yasemekana ni mzee wake sijui kivipi) pili ule utamu wa uenyekiti wa kamati ya mahesabu ya serikali UKAWA hawatoamini macho yao atakapouchukuwa Zitto kwa kura za ccm, maana kibunge Zitto ni mbunge wa upinzani ingawa ni wakala wa ccm kwa sasa, hizi ndio hesabu wengi hawazijuhi na hawatoamini masikio yao.
 
izack mwanalapa..umenena vema kaka kila ana style yake ya kuonesha na kusimamia kile anachokiamini, japo wote ukawa na zitto wanapinga urais wa shein
 
Last edited by a moderator:
Hesabu za Zitto wengi hawazijui, kwanza Kikwete alikuwa bungeni (Ambaye yasemekana ni mzee wake sijui kivipi) pili ule utamu wa uenyekiti wa kamati ya mahesabu ya serikali UKAWA hawatoamini macho yao atakapouchukuwa Zitto kwa kura za ccm, maana kibunge Zitto ni mbunge wa upinzani ingawa ni wakala wa ccm kwa sasa, hizi ndio hesabu wengi hawazijuhi na hawatoamini masikio yao.

Uenyekiti wa PAC anauchukua kirahisi sana...
na atautumia huo uenyekiti kisiasa apate faida...
Inawezekana Zitto kasalimi amri kwa 'system' zaidi kuliko CCM..

We jiulize Magufuli ana uchungu wa moyoni na muungano?
ukifa ye atajali nini? lakini mbona anaapa 'kuulinda'?

Mimi naona anasoma 'script' ya 'kitengo'....

Mtu kutoka Chato ana uchungu gani na wazanzibari?..
Magufuli na Zitto usikute wote wanasoma tu 'script' ya 'kitengo'
 
Back
Top Bottom