Zitto: Mapato ya mwezi Mei hayatoshi kulipa mishahara, Serikali imeamua kukubali kulipwa USD mil 100 ya Acacia na iliyosalia kwa awamu hadi miaka 5

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Sasa wewe ungefanyaje? Ukiwa mkubwa utajua kwamba baba mwenye nyumba hapaswi kukaa kulalamika mbele ya mke wake kwamba hajapata pesa ya chakula bali unajikaza unaenda kwa wenzio ukope au unajitahidi udai madeni wakulipe nyumbani wale ugali.
 
Back
Top Bottom