Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,883
Source FB page kaitoa toka gazeti la Citizen
Unajua kwanini reli ilikufa ?Kuna haja ya kufikiri na kuchambua mambo kwa mapana zaidi..badala ya kulilia hizo ajira kwenye malori yanayoharibu barabara zetu kila uchao, tuanze kuzungumzia maboresho ya sekta ya reli mizigo ibebwe na treni. Maendeleo ni zaidi ya specific jobs wakati mwingine.
Sasa Mkuu Zitto mbona haujatueleza kwanini watu hawa wametoka barabarani, lakini lazima tujue hii nchi ilikuwa na mambo mengi sana ya ovyo ovyo akitokea mtu anarekebisha mnaanza maneno, mkitoa data kama hizi muwe pia mnatoa data zake in detail kama alikuwa mlipaji wa kodi mzuri,mchango wake katika Taifa hili ni huu hapa n.k, lakini ukija tu hapa ukatuambia magari 15,000 yametoka barabarani unakuwa ujasema Logic yako ni nini kama mchumi try to analysed issue in detailSource FB page kaitoa toka gazeti la Citizen View attachment 451677
walikuwa walipaji wazuri au wabaya wa kodi ni suala la TRA au liseme wewe...yeye kasema kile alichokiona. Hata hivyo, kama kuna waliokwepa kodi wakati ule kwa sasa almost wote wamekamuliwa ndio maana baada ya tax arrears kuisha mmeona makusanyo ya Oktoba na Novemba yalivyoshuka na Desemba hii ni mabaya zaidi. Tunapojikita kwenye kukusanya kodi tuangalie drastic measures hizi zina faida au hasara kiasi gani kwa uchumi mdogo na mkubwa sasa na baadae. Kodi zingewezwa kukusanywa vizuri tu bila kuua biashara/mitaji ya wananchiSasa Mkuu Zitto mbona haujatueleza kwanini watu hawa wametoka barabarani, lakini lazima tujue hii nchi ilikuwa na mambo mengi sana ya ovyo ovyo akitokea mtu anarekebisha mnaanza maneno, mkitoa data kama hizi muwe pia mnatoa data zake in detail kama alikuwa mlipaji wa kodi mzuri,mchango wake katika Taifa hili ni huu hapa n.k, lakini ukija tu hapa ukatuambia magari 15,000 yametoka barabarani unakuwa ujasema Logic yako ni nini kama mchumi try to analysed issue in detail
kwahiyo anataka kusemaje sasa, mfumo wa maisha unabadilishwa polepole na anawanyoosha hadi wanyooke. ngoja tusubiri kama na mwaka 2019 atakuwa anayoosha hivihivi, mbona itakuwa furaha kwa mvuvi (cdm).Source FB page kaitoa toka gazeti la Citizen View attachment 451677
Wanatokaga sayari gani????Kuna haja ya kufikiri na kuchambua mambo kwa mapana zaidi..badala ya kulilia hizo ajira kwenye malori yanayoharibu barabara zetu kila uchao, tuanze kuzungumzia maboresho ya sekta ya reli mizigo ibebwe na treni. Maendeleo ni zaidi ya specific jobs wakati mwingine.