Zitto: Malipo ni hapa hapa duniani, Viongozi wastaafu wapo wapi wamuonye rais Magufuli?

FENOVA

Member
Oct 1, 2016
55
107
Jamani Watanzania sasa imefika wakati tuseme inatosha !! Enough, Enough Enough.

Hatujachagua Rais kuja kutuzihaki, kututukana na kutadhalilisha.

Sisi Watanzania ni watu wanyenyekevu na wapole na tunajiheshimu. Sasa tuseme kwa Pamoja INATOSHA !!







Mkutano wa hadhara mjini Kahama, Kiongozi wa Chama cha @ACTwazalendo katika Kampeni za [HASHTAG]#UchaguziMdogo[/HASHTAG] wa udiwani [HASHTAG]#Kahama[/HASHTAG] amezungumzia mambo mengi ikiwemo balaa la njaa, uzuiaji wa mikutano ya nje, kuzuia kwa Lema ndani bila sababu ya msingi na kauli zenye mauzi za Bwana Mkubwa kwa wananchi waliomchagua kama vile "kila mtu atabeba msalaba wake"
 
Nimemsikiliza Zitto kwenye clip hii,nafikiri huu ni mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani.Zito anauchambua uongozi wa JPM na kauli zake kwa wana Kagera alipoenda kuwajulia hali baada ya tetemeko.

Ukimsikiliza Zitto na namna anavyojenga hoja juu ya utawala huu,na kwa jinsi anavyowaasa Marais wastaafu kumpa "ushauri" JPM namna ya kuongea na kuongoza watu,unaona kabisa kuwa laiti kama mikutano ya siasa ingeruhusiwa na kukawa na shughuli za kisiasa kama kawaida,basi mpaka sasa huko mtaani watu wangekuwa wanapatwa na "hasira" sana.



Kwa kweli mkuu aliona mbali sana kuzuia hii mikutano na shughuli za kisiasa.Maana mpaka sasa watu wengi wangekuwa wamejua upande wa pili wa Serikali hii.

Bila shaka hizi chaguzi ndogo,wanasiasa wa upinzani watazitumia vizuri kupiga misumari ya hapa na pale
 
Rais alipokuwa Bukoba amesema watu wamemkasirisha
Waliobomokewa nusu, wamezivunja nyumba kwa makusudi ili wapate fidia kubwa zaidi.
Is it possible that there is economic mismanagement by the government?
If there is I would not about it.
Naishi katiks mazingara ambayo ni chaotic and I have to look at the world through the prism of my enviroment.
Lakini ukuliwafilisi watu with bankrupt economic policies
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom