The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,503
- 2,046
Kwa hiyo unadhani ni chama gani tukiwapa watafanya vizuri kuliko ccm ni nn kinakupa hiyo imani!?Mm ninachokijua hakuna kiongozi kutoka ndani ya CCM alishawahi kuja na fikra nzuri za kuikomboa Tanzania ,wote ni hamna kitu.Wao ni kuteuana ,kulipana mishahara minono na posho juu na kununua magari ya kifahari huku zaidi ya 80% wanaangaika na maisha magumu.Kuna kipindi huwa natamani miccm ife yote labda nchii hii itaondoka hapa ilipo .