Zitto kutua Tabora Jumamosi: Mapokezi Makubwa yamsubiri

Status
Not open for further replies.

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
Taarifa nilizo zipata muda mchache uliopita ni kuwa teamwork ya mwana siasa machachari,kijana, mwenye mvuto, anayependwa na vijana wengi hapa nchini Zitto Zuberi Kabwe imewasili mjini Tabora kwa ajili ya kuratibu mapokezi ya mwanasiasa huyo ambapo anategemea kuwasili mjini Tabora siku ya Jumamosi.
 
Huko Tabora Babu alienda kuongelea mambo ya gongo,

Hii ni dharau sana kwa mwanasiasa kuwaona wanachi ni watu wa gongo tu.
 
jamani kitumbua cha babu na lissu vinaingia mchanga, walivinywea vikombe vya hekaluni sasa utawala wao unafikia tamati.
 
nauliza tu hivi zitto aliwahi kufanya ziara za aina hii mwaka gani, yaani ziara zisizo na itikadi ya chama (chadema) , kwanini wakati huu??
 
Wataisoma sana mwaka huu, halafu aende na Kahama pia.

Mwaka huu hautosahaulika Chadema juu ya Zitto, kudos kwako ZZK na timu yako.
 
nauliza tu hivi zitto aliwahi kufanya ziara za aina hii mwaka gani, yaani ziara zisizo na itikadi ya chama (chadema) , kwanini wakati huu??
Jiulize kwanza juu ya Slaa, iwaje aende Tabora ilhali Zitto alishakwenda kuimarisha Chama kabla ya saga hili?

Chadema walikurupuka, na watajutia.
 
CCM nendeni mkamwandalie mapokezi.CDM tulishamumwaga kitambo bado kutangazwa tu.Makamanda tupo na cdm kama samaki na maji,mwacheni atapetape kabla hajakata roho!
 
Taarifa nilizo zipata muda mchache uliopita ni kuwa teamwork ya mwana siasa machachari,kijana, mwenye mvuto, anayependwa na vijana wengi hapa nchini Zitto Zuberi Kabwe imewasili mjini Tabora kwa ajili ya kuratibu mapokezi ya mwanasiasa huyo ambapo anategemea kuwasili mjini Tabora siku ya Jumamosi.

Yanayoratibiwa na meneja kampeni wa Rostam Aziz wa Igunga na Mwanadada wa Familia ya Sarungi akishirikiana na mtoto wa Kapuya?
 
jamani kitumbua cha babu na lissu vinaingia mchanga, walivinywea vikombe vya hekaluni sasa utawala wao unafikia tamati.

CDM ni taasisi kubwa,wakati munapiga ramli cc makamanda tupo field na CDM NI MSINGI!
 
Taarifa nilizo zipata muda mchache uliopita ni kuwa teamwork ya mwana siasa machachari,kijana, mwenye mvuto, anayependwa na vijana wengi hapa nchini Zitto Zuberi Kabwe imewasili mjini Tabora kwa ajili ya kuratibu mapokezi ya mwanasiasa huyo ambapo anategemea kuwasili mjini Tabora siku ya Jumamosi.
Yaaani huyu jamaa ni kero kweli naomba sana afukuzwe chadema na wafuasi wake waende naye waone km tutatetereka..huyu ni mamluki tu tamaa ya madaraka imemjaa hana lolote..yaaani i wish..ninge.mmmm....za
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom