Zitto kuokolewa na baraza kuu?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Kwa mujibu wa baadhi ya wajumbe wa baraza kuu la chadema,upo mpango wa kuukubali utetezi wa zzk na kumwokoa asifukuzwe kwani inasemekana idadi kubwa ya wajumbe wa baraza kuu wanamkubali zzk.Iwapo hali itakuwa hivyo kweli,basi watu wengi nikiwemo mimi binafsi,tutakuwa tumekatishwa tamaa na kitendo hicho.Simwamini zzk tangu ateuliwe kwenye kamati ya buzwagi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Labda ajifanye kipofu kama anaamini baraza kuu lita mbakiza, kwanza maamuzi yaliyochukuliwa na kamati kuu ilikuwa ni utwkelezaji wa maadhimio ya baraza kuu mwezi january 2013. Baraza kuu liliazimia zitto achukuliwe hatua za kinidhamu kisha baraza kuu lipelekewe taarifa za hatua sitahikibzilizo chukuliwa juu ya bwana Zitto.

Itakuwa ni ajabu sana na ndoto maana hata zitto siku hiyo alilia na kukimbilia nje kisha mbunge wa chadema wa viti maalum dada mstaarabu asiye na makuu na mtu yeyote yule dada Grace Kiwelu alienda na kumbembeleza zitto aache kulia kwani hizo ndizo siasa.
Nimemshangaa sana wakili wake kwa kuendelea kumpotosha ama zitto hakusema ukweli kwa wakili wake kuwa baraza kuu vile vile liliagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu.

La mwisho kabisa ni hawa wanaojifanya kuwa upande wa zitto, kiukweli hawajitambui yaani weww ni mjumbe wa baraza kuu unajua kabisa hoja hii inaweza kuja baraza kuu halafu wewe unajiuzulu, kwanini uaisubiri kikao kikubwa cha baraza kuu ukatoa ishawishi wako kwa wajumbe kumuokoa zitto? Ninamna gani kweli watu hawajui katiba na kanuni za vyama vyao, haya sasa kamteteeni mkiw nje ya baraza kuu la chama.
 
Simwamini
zzk tangu ateuliwe kwenye
kamati ya buzwagi....
alikula hela ndefu na akafumba mdomo kuhusu madini
 
Kwa mujibu wa baadhi ya wajumbe wa baraza kuu la chadema,upo mpango wa kuukubali utetezi wa zzk na kumwokoa asifukuzwe kwani inasemekana idadi kubwa ya wajumbe wa baraza kuu wanamkubali zzk.Iwapo hali itakuwa hivyo kweli,basi watu wengi nikiwemo mimi binafsi,tutakuwa tumekatishwa tamaa na kitendo hicho.Simwamini zzk tangu ateuliwe kwenye kamati ya buzwagi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Kwa aliyoyafanya hastahili kuwa hata mshabiki wa Chadema huyu jamaa ni hatari sana, na isingekuwa Chadema ni mpango wa Mungu ingesambaratika kama Nccr na mpango mzima Zzk alikuwa ndiye mtekelezaji, huyu jamaa anyanganywe kadi
Tena nashauri hata huyu Albert Msando anatakiwa kufatiliwa kwa karibu, yeye ni kiongozi ndani ya Chama kwa nafasi yake ya udiwani, iweje leo ndiye mtetezi wa wasaliti tena kupitia media na sio ndani ya vukao halali vya chama
 
chadema mpango wa mungu, JK chaguo la mungu (by jopo la maaskofu akiwepo kiongozi mkuu kabisa wakatoliki tz).
tuache kumsingizia Mungu ujinga wetu.
siasa za africa ni ujinga kaka, uchaguzi 2015 toka 2011 tunajadili siasa sasa sijui kazi tunafanya saa ngapi.
sisi tufanye kazi, tusikilize sera kampeni zitakapoanza 2015 then mpigie kura unaemuamini by the way africa ni masikini sana kwa hiyo inaonekana ni common problem kwa africa, matatizo ya tz ndio matatizo ya africa yote kwa hiyo inaonekana weusi tunashida moja.
 
Si mimi tu, hata mwenyekiti wa kamati ya Bunge kuchunguza sakata la Richmond DR. Mwakyembe naye alimshangaa sana Zito juu ya kauli yake ya kuyanunua yale magenerator yaliyoingizwa kwa mikataba ya utata namnukuu "Jamani siamini hivi ni huyu huyu Zitto Kabwe ninayemjua mimi"

Tuko wengi tukiamini kwamba kuna kitu kilichofanyika kumbadilisha fikra na mtazamo wake Mwanasiasa huyu machachari sana baada tu ya ile kamati kuanza kazi yake.
 
Nawapenda sana wana Kigoma wote na wananchi wa Kigoma lakini wabunge wanaowapata cjui wana mashetani gani
Kaborou na Zito wanayoyafanya cna hamu hata kidogo
 
Si mimi tu, hata mwenyekiti wa kamati ya Bunge kuchunguza sakata la Richmond DR. Mwakyembe naye alimshangaa sana Zito juu ya kauli yake ya kuyanunua yale magenerator yaliyoingizwa kwa mikataba ya utata namnukuu "Jamani siamini hivi ni huyu huyu Zitto Kabwe ninayemjua mimi"

Tuko wengi tukiamini kwamba kuna kitu kilichofanyika kumbadilisha fikra na mtazamo wake Mwanasiasa huyu machachari sana baada tu ya ile kamati kuanza kazi yake.
mkuu tungefuata ushauri wa zitto hii hasara tunayoiingia sasa hivi tusingeipata, kumbuka tunalipa deni tena lenye riba kubwa. Zitto ni kiongozi mahiri aliisoma ile issue ilivyokaa akaona inakula kwetu tusipoichukua. sasa acha tuendelee kuugulia maumivu sote mimi na wewe kwa ujinga kama huu wa kwako.
wewe unafikiri ukisema dr mwakyembe ndo usalama wetu? hivi nyinyi akili zenu mliziachaga wapi? Think.
 
amekuwa na pesa isiyo na maelezo, ataponea wapi, siku ya baraza kuu, zitaletwa nondo za kufa mtu. ngoja adanganywe na mwanasheria wake feki
 
mkuu tungefuata ushauri wa zitto hii hasara tunayoiingia sasa hivi tusingeipata, kumbuka tunalipa deni tena lenye riba kubwa. Zitto ni kiongozi mahiri aliisoma ile issue ilivyokaa akaona inakula kwetu tusipoichukua. sasa acha tuendelee kuugulia maumivu sote mimi na wewe kwa ujinga kama huu wa kwako.
wewe unafikiri ukisema dr mwakyembe ndo usalama wetu? hivi nyinyi akili zenu mliziachaga wapi? Think.
we uliona wapi mali iliyotokana na ununuzi wenye utata wa mkataba wa kwanza ikanunuliwa na umma? hata kama yangekuwa mapya bado mradi mzima wa Richmond uliyoyaleta hayo magenerator ulikuwa na harufu chafu ya Rushwa!! hapa ndipo nilimwona Zitto si Zitto yule tuliyemfahamu toka mwanzo eti anaharalisha Magenerator yanunuliwe sababu tu ya SHINDA zetu bila kujali mradi mzima ulikuwa na usafi gani. huo ni uongozi wa wapi?

Nina shida ya TV nyumbani kwangu, anakuja mtu anauza TV bila kujali imetoka wapi, lakini kwa sababu inafanya kazi - basi mimi nainuka kifua mbele kuinunua ili kumaliza tatizo langu na familia - hivi nitakuwa na akili kichwani kweli.
 
Kwa aliyoyafanya hastahili kuwa hata mshabiki wa Chadema huyu jamaa ni hatari sana, na isingekuwa Chadema ni mpango wa Mungu ingesambaratika kama Nccr na mpango mzima Zzk alikuwa ndiye mtekelezaji, huyu jamaa anyanganywe kadi
Tena nashauri hata huyu Albert Msando anatakiwa kufatiliwa kwa karibu, yeye ni kiongozi ndani ya Chama kwa nafasi yake ya udiwani, iweje leo ndiye mtetezi wa wasaliti tena kupitia media na sio ndani ya vukao halali vya chama

Kwani kafanyaje
 
we uliona wapi mali iliyotokana na ununuzi wenye utata wa mkataba wa kwanza ikanunuliwa na umma? hata kama yangekuwa mapya bado mradi mzima wa Richmond uliyoyaleta hayo magenerator ulikuwa na harufu chafu ya Rushwa!! hapa ndipo nilimwona Zitto si Zitto yule tuliyemfahamu toka mwanzo eti anaharalisha Magenerator yanunuliwe sababu tu ya SHINDA zetu bila kujali mradi mzima ulikuwa na usafi gani. huo ni uongozi wa wapi?

Nina shida ya TV nyumbani kwangu, anakuja mtu anauza TV bila kujali imetoka wapi, lakini kwa sababu inafanya kazi - basi mimi nainuka kifua mbele kuinunua ili kumaliza tatizo langu na familia - hivi nitakuwa na akili kichwani kweli.
ndugu fuso mfano uliotoa sio relevant kwani usiponunua hiyo tv hupati hasara. lakini hii issue ya majenereta tungenunua ilikuwa ni nafuu kwetu kuliko hasara tunayopata ya kulipa sasa hivi. tunalipa bei kubwa zaidi ya mara 4 plus riba juu. kwa maana ingine tungenunua kwa robo ya bei tunayolipa na kuwa nayo hayo majenereta. jifunze maana ya kitu kinachoitwa mkataba. nisome taratibu utanielewa ninachomaanisha. sisi wengine sio wazuri sana wa kuelewesha japo tunaelewa wenyewe.
 
Kwa mujibu wa baadhi ya wajumbe wa baraza kuu la chadema,upo mpango wa kuukubali utetezi wa zzk na kumwokoa asifukuzwe kwani inasemekana idadi kubwa ya wajumbe wa baraza kuu wanamkubali zzk.Iwapo hali itakuwa hivyo kweli,basi watu wengi nikiwemo mimi binafsi,tutakuwa tumekatishwa tamaa na kitendo hicho.Simwamini zzk tangu ateuliwe kwenye kamati ya buzwagi

Shit, another mistake. Iam sick again.......
 
Huyu mkuu Zito tayari ameshafukuzwa cDM kilichobaki ni kukamilisha utaratibu tu.
 
Back
Top Bottom