kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Kwa mujibu wa baadhi ya wajumbe wa baraza kuu la chadema,upo mpango wa kuukubali utetezi wa zzk na kumwokoa asifukuzwe kwani inasemekana idadi kubwa ya wajumbe wa baraza kuu wanamkubali zzk.Iwapo hali itakuwa hivyo kweli,basi watu wengi nikiwemo mimi binafsi,tutakuwa tumekatishwa tamaa na kitendo hicho.Simwamini zzk tangu ateuliwe kwenye kamati ya buzwagi
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums