mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Wasiotaka kukosolewa wamekasirika Zitto Kabwe aitwa polisi kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe ametakiwa kuripoti katika kituo cha polisi ifika kesho saa 4 asubuhi. Juni 5 akiwa katika viwanja vya Zakhiem Mbagala Zitto alielezea namna serikali ya awamu ya tano ilivyodhamiria kuminya demokrasia na kisha akaahidi kujitoa muhanga kuhakikisha uminyaji huo wa demokrasia,siku ambayo ni Leo.
Chanzo: Msemaji wa Ofisi ya ACT Dar es Salaam
Chanzo: Msemaji wa Ofisi ya ACT Dar es Salaam