Zitto kudharau wabunge wa CHADEMA EALA ni kudharau kamati kuu ya CHADEMA

CHADEMA wenyewe wanawatukana hao wabunge waliochaguliwa mpaka Mbowe amesusa kuwapongeza
Amesusa kuwapongeza anataka wahame chama? Ndiyo maana mi huwa nasema CDM hawajielewi na inaonyesha ndani ya CDM kuna matabaka ya wanachama. Hivyo vitendo wanavyo fanyiwa wabunge wa EALA siyo vya kiungwa kabisa. Demokrasia ya hawa chadema iko wapi?
 
Mbowe alikuwa anawataka Masha na Wenje.....hao waliochaguliwa hataki hata kuwaona!
 
Twende XTRA mile....hawa wanakwenda kama Tanzania na kosa lolote huko ni Tanzania na wala siyo Ccm au chadema.Hivyo tunapaswa kupeleka watu makini kwenye EALA
Waliwaletaje watu wasio makini wapigiwe kura na bunge,hao makini n wakina nani,hii inaonyesha kwamba kuna watu waaminika wao ni bora kulko wengne ndan ya CDM
 
Kwani Zitto kasema nn mkuu? Weka maelezo kamili tafadhali. Wengine nyumba huku Jangwani zimejaa maji hatuhabariki kirahisi
 
Waliwaletaje watu wasio makini wapigiwe kura na bunge,hao makini n wakina nani,hii inaonyesha kwamba kuna watu waaminika wao ni bora kulko wengne ndan ya CDM
mkuu team hua zina wachezaji zaidi ya kumi na moja lkn coach hua ana majembe yake ana ya aminia kwamba yakitia mguu ground ushindi lazima haiwezekan team pinzani kuipangia kikosi team pinzani yake nadhani umenisoma
 
Pale uongozi wa shule unapo msimamisha kibaraka wao na mwanafunzi mwingine mjingamjinga kugombea u-HP alafu wanafunzi ili kuwakomoa walimu wanampigia kura yule mjingamjinga :D:D. Haya mambo yametoka mbali ati
 
Waliwaletaje watu wasio makini wapigiwe kura na bunge,hao makini n wakina nani,hii inaonyesha kwamba kuna watu waaminika wao ni bora kulko wengne ndan ya CDM
Labda walikuwa wameelekezwa kujitoa kabla ya uchaguzi ili yabakie majina mawili au matatu ya wapendwa wao ( Sf + W + M). Jamaa wakajikausha hadi mwisho na kutoka na ushindi baada ya wapiga kura kugundua janja hiyo. Inawezekana wakapata adhabu kwa kosa la utii.

Ila washindi walipata kura nyingi kutoka pande zote mbili -- ukawa na ccm. Idadi ya wapiga kura wa UKAWA ilikuwa takribani 100. Sasa kama mtu alipata kura 34 tu na hata kama ccm wote walimnyima kura (kitu ambacho si rahisi), ina maana asilimia 70% ya wajumbe toka ukawa walimkataa katika kura hizo za siri. Yaani maana yake alipata kura za viongozi wakuu wa ukawa tu. Zinamanisha kuna tatizo ndani ya UKAWA.
 
Zitto kama Mtanzania anapoona maslai ya nchi yanachezewa na watu inabidi kuwa mkali pale tulikuwa tunachagua Wawakilishi wa nchi si wawakilishi ya BAWACHA kutoka Tanzania
Ni mjinga pekee anayeweza kwenda na mishale kwenye vita ya RPG kisa tu kwa vile mishale ina sumu

Katika vitu walivyofanya chama changu CCM ni kutuchagulia watu ambao ni level ya umiseta kwenda kucheza kombe la Dunia
 
Back
Top Bottom