Zitto kuchangia bungeni sasa na kutoa utetezi wake juu ya mabilion ya uswis

Status
Not open for further replies.
Tunasubiri sana, maana hali ya hewa kuhusu integrity yake inazidi kuporomoka kila kukicha!
 
Asante kamanda why, tunasubiria updates tusikie akilia lia huyo mpuuzi aliyetufanya sisi watanzania ni wadanganyika
 
Last edited by a moderator:
Aibu yake mwenyewe... na alivyo hana soni,

1. Ataikana kamati kama kawaida yake, yeye huwa ni mtu wa kukana
2. Kulia lia mbele ya jamii
3.Spika atambeba.

loading........
 
Anaweza kusema anazo,utakuja kuona wale wanafki wa jana wa CCM wanaojifanya wanamchukia wanaanza kumsifia tena
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom