Uchaguzi 2020 Zitto: Kigoma tumekamata kura feki nyingi zikiwa zimewapigia CCM

Malalamiko kwenye social media no malalamiko wa umma. Umma nao unahitaji ushahidi. Kama haulalamiki kwa umma kwa nini una-post kwenye social media?
Aisee man! mi nipo chugga na nime vote Uncle Magu, ili amalizie kibarua chake... lakn pia naona kama unachoongea hakielewi au hakipo!!! ivi media gani leo umeisikia kuna malalamiko yametolewa??
au hujaelewa mkuu!!! malalamiko yapostiwa kwa social network sio social medial sawa!!! na hakuna kiongozi yoyote alienda kupeleka malalamiko kwa tume but malalamiko yamepostiwa.. na kusambazwa so tume baada kuona hvyo ndo wakatoa tamko... na sivyo ulivyoelewa wwe!!!!!!
mzee usifuate mkumbooo!! follow your decade time.. kijana ni taifa la kesho...
 
watanzania tuamke.. vtu vipo dhahili lakin mtu kutokana na u ccm ana ponda..hujiulz kwann kura ziwe zao ndo feki mitandao waminye mawakala wasumbuliwe..mbona haitokei kwao.. napata taab nnapo muona mtu analeta uchama kwnye swala la u nchi.. ukwel mi kwamba asilimia nying ya wananchi wanajua wanaemtaka..
hawa malimbukeni ni watu ambao sio wafanyabiashara sio wafanya kaz sio wakulima sio wawekezaji ni raia tu wa kk kula kulala usi judge juu juu jiulize kwann watu wanalalamika..ifke hatua elimu itusaidie ukisikia ktu fanya research before ku react..asanten
 
Mkiweza kurekebisha hilo angalau mtaanza kuwa chama cha kisiasa kweli. Sasa hivi ni chama cha siasa za mitandaoni.
Mkuu wewe juwa tu me sijawahi kuwa na card ya chama chochote ubongo wangu upo huru hauwezi kuona giza ni mwanga hauwezi kukubali wizi wakishamba kiasi kile wizi wakijinga kabisa
 
Umeshanyooshwa!
Unaelewa kuwa kulawiti uchaguzi ni kumlawiti mwananchi yeyote yule mpenda haki hata kama huyo mwananchi ni kutoka CCM?Unaelewa kuwa kwa minajili hiyo kuna wananchi wengi sana kutoka CCM wamelawitiwa kwa sababu ya kuamini katika haki?
 
Back
Top Bottom